Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Hata Polisi wamemsitukia!! wanaomba ushirikiano na wananchi. Mimi naanza, Waanze na ofisi za basi la New force T 226 abiria aliyekaa seat number G4, alipandia wapi na kushuka wapi?
 
Polisi wafanye uchunguzi huu kwa makini hii sasa umekuwa uhuni mkubwa dhidi ya serikali
Polisi walishamjua mwenye kikundi cha utekaji na uuaji ni nani..., na wao wanachunga ajira zao na maisha yao.., hawawezi kumgusa mtoto kipenzi cha Baba ... !
 
Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Naona mmeanza kujisemasema, aliyemuokota amedai anaishi Dar ila alienda Mafinga kikazi, je uliteremka na huyo kijana Mafinga karibu na Sao hills?
 
img_20180307_233447-jpg.707210

Wasisahau kuvaa kondom za ulimi wanapolamba hivyo viatu
 
mi nafikili ushauri wako badara ya kuuleta huku ungeenda polis uwashauri wachunguze,kwani watu wanaidis serikali kwa sababu matukio haya uchunguzi haujawahi fanikiwa mfano,tukiwataja wanasiasa utasema tunaleta siasa hivi yule mwandishi wa mwananchi anaitwa azoli kama sijakosea nae ni tukio la kutengeneza au nae kajiteka....haya mambo polis wakiweka umwinyi pembeni wanaweza sana kutusaidia kuujua ukweli....
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya Rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa Rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Serikali isifanyie mzaha hawa watu wanaotafuta kiki kwa kuichafua serikali. Lazima uchunguzi wa ndani ufanyike kujua huyu anadai alitekwa kama maelezo yake ni ya kweli

Nyani Ngabu,
Let me call you Nyani kasoro mkia,
Kuna Watz au Wabongo mnajifanya hamnazo na kuchukulia haya maswala ya watu kutekwa na kupotea kwa Watz wenzetu kama ni maigizo na kutafuta kick za kisiasa.....!!Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini upuuzi kama huo. Bwana Nyani naomba unijibu kwa kunishawishi kwa matukio haya 4 tu kama ni maigizo na kiki za Kisiasa:
  1. Je, kupigwa risasi na kuuawa kwa Acquline Akwlilina ni maigizo ya Polisi?
  2. Je, kutekwa na kupotea kwa Ben Saanane zaidi ya mwaka sasa ni maigizo ya kisiasa?
  3. Je, kutekwa na kupotea kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi ndugu Azory Gwanda ni maigizo ya JPM?
  4. Je, kupigwa risasi 38 kwa Mhe. Tundu Antipas Lissu ni maigizo ya kisiasa ya Serikali ya CCM?
  5. Je, kutekwa kwa Abdul Nondo jana na kutoweka akiwa maeneo ya UDSM na kupatikana Mafinga hajitambui ni igizo?
Kwako Bowie,
Hiyo serikali unayoiambia ifanye uchunguzi wa ndani kujua kama ni kweli Abdul Nondo alitekwa ni ipi hasa? Una maanisha hii Serikali ya CCM ambayo mpaka leo haijawaweza kutoa majibu kutoweka kwa Ben Saanane, kutoweka kwa Azory Gwanda, kupigwa risasi kwa Mhe.Tundu Lissu na juzi kuuawa kwa Akwilina...!!!
Tunajua mnaoleta hoja hizi mfu ni haohao Mafisi au Manyang'au wa CCM na lengo lenu ni kupoteza lengo au hoja ya msingi ili watu waendelee kufikiri Wapinzani ndo wanajiteka au kuteka watu......Nonsense!!.

Swali kwako muishiwa sana: Chama Twawala CCM na Serikali yao chini ya uongozi wa kibabe wa Bwana Magufuli wao ndio wanatawala nchi hii kwa sasa, Polisi,JWTZ, UWT,Magereza na Uhamiaji viko chini yao wanashindwaje kuwadhibiti CHADEMA au Wapinzani kama ndio wanaopanga au kusababisha huu utekaji na uuaji wa Viongozi wao wenyewe???
Kama ni kweli basi hatuna Serikali baali tuna vichaa fulani wanapigwa mbwembwe za kisiasa.....!!

''Akili za kuambiwa changanya na za kwako....."Jakayo Mrisho Kikuete( Tanzanian retired Presida)
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya Rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa Rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ben sanane kwanza apatikane akiwa hai na yule mwandishi wa habari ndo uje ubwabwaje hapa
 
Nyani Ngabu,
Let me call you Nyani kasoro mkia,
Kuna Watz au Wabongo mnajifanya hamnazo na kuchukulia haya maswala ya watu kutekwa na kupotea kwa Watz wenzetu kama ni maigizo na kutafuta kick za kisiasa.....!!Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini upuuzi kama huo. Bwana Nyani naomba unijibu kwa kunishawishi kwa matukio haya 4 tu kama ni maigizo na kiki za Kisiasa:
  1. Je, kupigwa risasi na kuuawa kwa Acquline Akwlilina ni maigizo ya Polisi?
  2. Je, kutekwa na kupotea kwa Ben Saanane zaidi ya mwaka sasa ni maigizo ya kisiasa?
  3. Je, kutekwa na kupotea kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi ndugu Azory Gwanda ni maigizo ya JPM?
  4. Je, kupigwa risasi 38 kwa Mhe. Tundu Antipas Lissu ni maigizo ya kisiasa ya Serikali ya CCM?
  5. Je, kutekwa kwa Abdul Nondo jana na kutoweka akiwa maeneo ya UDSM na kupatikana Mafinga hajitambui ni igizo?
Kwako Bowie,
Hiyo serikali unayoiambia ifanye uchunguzi wa ndani kujua kama ni kweli Abdul Nondo alitekwa ni ipi hasa? Una maanisha hii Serikali ya CCM ambayo mpaka leo haijawaweza kutoa majibu kutoweka kwa Ben Saanane, kutoweka kwa Azory Gwanda, kupigwa risasi kwa Mhe.Tundu Lissu na juzi kuuawa kwa Akwilina...!!!
Najua manaoleta hoja hizi mfu ni Mafisi au Manyang'au wa CCM na lengo lenu ni kupoteza hoja ya msingi ili watu waendelee kufikiri Wapinzani ndo wanateka watu......Nonsense.

Swali kwako muishiwa sana: Chama Twawala CCM na Serikali yao chini ya uongozi wa kibabe wa Bwana Magufuli wao ndio wanatawala nchi hii kwa sasa, Polisi,JWTZ, UWT,Magereza na Uhamiaji viko chini yao wanashindwaje kuwadhibiti CHADEMA au Wapinzani kama ndio wanaopanga au kusababisha huu utekaji na uuaji wa Viongozi wao wenyewe???
Kama ni kweli basi hatuna Serikali baali tuna vichaa fulani wanapigwa mbwembwe za kisiasa.....!!

''Akili za kuambiwa changanya na za kwako....."Jakayo Mrisho Kikuete( Tanzanian retired Presida)

Povu la wiki hili!
 
Mkuu kwahiyo nakubaliana na wewe kwa serikali kushindwa kutatua matatizo ya utekaji wa awali na upigwaji wa risasi wa Tundu Lissu hata kama kutatokea mtu akajiteka watanzania wataamini.
 
Povu la wiki hili!

We ni nyani tu,
Huwa tunasema majina yana roho nyuma yake..!!! Kujiita nyani siyo bure....inaonekana kuwa una roho ya NYANI na unawaza kama Nyani not like a human being...!!! Mimi nimeuliza maswali 4 kujenga hoja yangu, lakini badala ya kujibu hoja unadai 'Povu la wiki'' Inaonesha tu wewe ni kilaza wa kiwango cha lami....!Get my point?
 
Wacha niseme mawazo yangu.

Napata hisia kama zako juu ya matukio haya. Huyu dogo wanasema alianza kutishwa siku za karibuni lakini bado aliendelea kutochukua tahadhari na kutembea saa 6 usiku peke yake. Inashangaza kama huyo ni msomi wa UDSM.

Pili alipata wasaa wa kutuma ujumbe yupo hatarini badala ya kupiga simu kwa watu wake waje waambatane kwenda mahali salama. Na kukaa mahali walipo watu wengi huku akisubiri msaada. Au unapiga simu namba za dharura kuomba msaada kwamba unavamiwa.

Maswali mengi lakini mengine naweka kiporo.
Duh!
Hii ilikuwa comedy show
 
We ni nyani tu,
Huwa tunasema majina yana roho nyuma yake..!!! Kujiita nyani siyo bure....inaonekana kuwa una roho ya NYANI na unawaza kama Nyani not like a human being...!!! Mimi nimeuliza maswali 4 kujenga hoja yangu, lakini badala ya kujibu hoja unadai 'Povu la wiki'' Inaonesha tu wewe ni kilaza wa kiwango cha lami....!Get my point?

Okay, get in line.
 
Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Aisee jamani walahi
 
Polisi walishamjua mwenye kikundi cha utekaji na uuaji ni nani..., na wao wanachunga ajira zao na maisha yao.., hawawezi kumgusa mtoto kipenzi cha Baba ... !

Menyainganyi,

You're correct...! Hii mipango ya kuteka, kuua na kupotezwa watu inapangwa tokea Ikulu ya Magogoni...na ndiyo maana JPM haulizi, hakemei wala haoni aibu kwa Serikali yake kuendelea kujichafua kwa huu ujinga unaofanywa na Serikali, CCM na TISS...!!! Ngoma ikilia sana ujue yaenda kupasuka ati...!!
 
Ushahidi uko wapi kuwa inapangwa tokea ikulu ya Magogoni?

Wewe huwa unahusika katika kuipanga hiyo mipango?
 
You are absolutely right, HUMAN MEMORY SUCKS.

Lakini hii clip ipo YouTube. Usitake kubishana na mimi. Ni kiasi cha kuitafuta hotuba ya Mbowe na Mdee jioni ya tarehe 16 February, 2018 ili uone nimepotosha kiasi gani.

CDM wamefanya civil & criminal disobedience kama mkakati wao wa kufanya siasa za kiharakati kwa muda mrefu sana.

I will admit, mbinu zao ndizo zilizoipa CDM umaarufu mkubwa mpaka kukaribia kuing'oa CCM.

Lakini hizi mbinu zao mara nying zilivuka mipaka. Kuna vyama vingi vya kisiasa duniani vilivyofungiwa kwa makosa madogo kuliko yao.

Awamu za nyuma za serikali ya TZ hazikutaka kufanya hivyo kwa sababu ingeleta picha mbaya duniani kuwa chama kikuu cha upinzani TZ kufungiwa.

Pengine utakumbuka katika awamu ya 4. CDM waliivuruga serikali bila kukaripiwa mpaka wakamuita Rais Kikwete DHAIFU.

Unaikumbuka hii?

Kama unaamini Rais ni dhaifu, demokrasia na katiba ya nchi inakuruhusu kusema hivyo wazi. Kinyume na hapo, tusilete unafiki wa kusema hii ni nchi ya kidemokrasia.

Hivi mnashindwaje kulielewa hili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom