Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Fikiria ndani ya box mkuu ni ngumu kuzuia mgandamizo wa maji ndani ya mpira lazima utapasuka tuu hii ni sayansi ndogo kama ulizuia mikutano ya siasa kwa vyama vyote vya siasa basi wote wasifanye siasa lkn sasa polepole anafanya siasa nchi nzima zito akijaribu kuzunguka tena mikutano ya ndani anabugudhiwa kwahiyo ubaguzi ni mbaya hata makaburu walipowabaguwa wa afrika dola ilikosa ushirikiano na watu weusi lkn huu ni mpango mkakati wa mkulu kuivuruga nchi kwa maneno yake mwenyewe kwa wakurugenzi aliowateuwa I wish I could be igp unafikiri alikuwa anamaanisha nn ni kuvunja sheria na kuuwa wapinzani wake
Watu mnasahau chanzo halisi cha serikali kuamua kuuzuia huu mkakati wa kiharakati wa wapinzani wasiifanye hii nchi isitawalike. UKUTA.

Subirini 2020.
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Magufuli amegeuka kokoro la kila lawama ....
 
Watanzania wakiwa na akili waone mfano wa watu wa Syria, Somalia,Libya nk walivyotaabika na kufa kwa uchu wa madaraka. 2020 kuna uchaguzi mkuu na watanzania wataamua kwa njia ya kidemokrasia nani atakuwa kiongozi wao
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Makamanda huenda wakatembea uchi.Sasa hivi yeyote akitoa kauli ya uanaharakati wanaingia naye mkataba wa kumteka.
 
Hapana kukabiliana

na maandamano hakuitaji polisi kutumia risasi pale ambapo maandamano si ya vurugu. Kwani wale waandamanji walikuwa na silaha zipi zilizofanya polisi watumie risasi? Hapa unatakiwa uweke uzalendo mbele kama Mh Rais alivyo mzalendo. Usitetee uongo bali sema ukweli ili watu wabadilike.
Maandamano yalianza usiku (baada ya saa 12 jioni.) Kinyume cha sheria walizojiwekea wenyewe vyama vya siasa.

Maandamano hayakuwa na kibali cha polisi. Sheria ya kikatiba. Ibara ya 20(1) ya Katiba ya JMT ya 1977.

CDM walivunja sheria 2 pale. Ulitaka polisi wafanye nini?

Waandamanaji walikuwa na silaha za mawe. Polisi kadhaa walijeruhiwa.
 
Mkuu Kifyatu huwa naheshimu mada zako hasa kule kwenye jukwaa la intelijensia ya mambo ya ulimwengu ila huku kwenye siasa huwa unachemka vibaya, nikuhakikishie upinzani hawana uwezo wa kumpindua Raisi huko ni kujidanganya. CCM wenyewe ndio watakaompindua huyo magufuli wako tusubirie muda utasema...
 
Kama serikali imeshindwa kudili na hawa watekaji wa chadema unaowaita na kuua watu kama unavyofikiri basi serikali na vyombo vyake vya ulinzi vimeshindwa kazi ya kutulinda RAIA wake.

Kwa mujibu wako hao wanaoratibu ni chadema je wakija boko haramu kuratibu mambo kama hayo si tutakwisha???
Ukweli utajulikana tu hivi karibuni.

Usiudharau ukimya wa vyombo vyetu vya usalama.
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Mbinu pekee ya Chadema sasa ni kuingia mkataba na "wanaharakati" kuwateka ili kuipaka matope serikali
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Magu anatumia nguvu kubwa kupambana na upinzani bila kujua maadui zake wako humohumo ccm wanamuundia zengwe...
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Kwann basi polisi isiwakamate na ushahidi ili tuwajue kweli wana mpango mbaya, yaan pamoja na matukio yote hayo kuanzia mpaka wale masheikh wa zenj hadi Roma mkatoliki why wasikamatwe hao unaosema wanamfitinisha Raisi ndo hapo tunaposema labda kuna uhusika
 
Ni kweli kabisa.

Kama CDM wasingeanzisha yale maandamano ya usiku bila kibali, halafu risasi zilipoanza kurindima viongozi wa juu wakavaa madera na shungi wakakimbia, Akwilina wetu tungekua nae leo.

Ni watu gani hawa?
Mkuu fikirisha ubongo kidogo kabla ya kumquote mtu, kwani hii nchi ushaona kuna polisi ipo chini ya serikali ya Chadema?
 
sawa kwa akili zako , lakn umejiuliza kwann sasa. kwann haikua kupindi cha mkapa wala Jk. ok sawa ni sinema , je yule mwandishi wa mwananchi ataachia lini movie yake?? na ben saa nane kaenda mwezini?? hebu twambie mawazo alipo??

je Sugu kajifunga gerezani??

bila shaka ukiona machozi ya wengi jua kuna ajali kila mtu analia msiba wake. sasa ww naona hata jiran yako hajampata ya bongo subiri yakupate
Mauaji Arusha,ulimboka na mwangosi zilikua zama zipi?
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Mimi kama mimi naomba hoja ya Mh Bashe ya kuunda Kamati teule ya Bunge, kuchunguza matukio yote haya, iungwe mkono, badala ya kutumia wapelelezi wa nje. Kuna ushahidi kuwa Kamati za aina hiyo zimetoa taarifa zilizosaidia kujua ukweli, km ya Richmond na hivi karibuni la madini ya almasi.
 
Naona unaparaphrase badala ya kuquote.

CHADEMA ndio walitumia risasi za moto kujitawanya pale mkwajuni? Acheni kumtafuta mchawi wakati mchawi hasa anafahamika.
 
Lets assume upo sahihi. Kama ni hivyo Serikali q ambayo ndio ina vyombo vya usalama ichunguze na kuwafikisha Mahakamani.Serikali hizi zetu zikipata sababu kama hizo kwa upande wa upinzani itachukua hatua haraka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom