Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Kwa mfano wewe una sababu zipi zinakufanya uamini kwamba haya ni matukio ya kutengeneza, mpaka unafika hatua unashauri "tustuke"? Hata polisi wenyewe ktk chunguzi zao zote hawajawahi kusema kwamba wamechunguza wamejiridhisha kuwa haya ni matukio ya kutengenezwa.

Mkuu kuna vitu vingine ni vya kimyakimya ktk maswala ya upelelezi sio kila jambo ati uelezwe
Jeshi la polisi sio SHILAWADU kama unavyofahamu
 
Maeneo mengi sana watu wameripotiwa kutekwa na kupigwa,
Huo ni uharifu kama uharifu mwingine tu!
Usalama hawawezi kufanya kazi kishamba namna ambavyo inaripotiwa; inawezekana kuna magenge ya chama yamejivika majukumu!
Kuweni makini na kauli zenu Kwa wapinzani wenu huko makwenu.
Vipi Nissan nyeupe?
 
Haki ya ''kupatwa na mashaka'' ni haki ya kila Mtanzania na mtu yeyote yule - huru au mfungwa. An opinion of a lay-man remains just that. An option.
 
Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Bado kuna utata mkubwa.........Inawezekana kweli alipanda gari Dar to huko kwenu lakini akawa Under Control..............!!! ili kupoteza Ukweli............... Side zote zinatakiwa kufanyia Uchunguzi wa Kina kabla ya kufikia Final Tarch.............. Hili ni jambo Pana ...............
 
Naona mmeanza kujisemasema, aliyemuokota amedai anaishi Dar ila alienda Mafinga kikazi, je uliteremka na huyo kijana Mafinga karibu na Sao hills?
Achana na hadithi za kutunga kugeuza ukweli wa uhuni wa huyu mjinga.
Na hujiulizi huyo aliyemuokota alikuwa anatafuta nini kwenye msitu wa Sao hill? unajua umbali wa msitu huo na Mafinga? Hiyo Taxi aliyomkodia Dereva alikuwa amefuata nini msitu wa Sao hill? Aliyemuokota ilikuwaje abaki msituni akimuacha mtekwaji aende peke yake kituo cha Polisi. Uliwahi kuona mtu anajiandaa kutekwa? Toka saa 6 hadi saa 8 anahangaika kujitoa kwenye group za whatapp ili asipatikane!!!
 
Mkuu kuna vitu vingine ni vya kimyakimya ktk maswala ya upelelezi sio kila jambo ati uelezwe
Jeshi la polisi sio SHILAWADU kama unavyofahamu
Kama JPM na Bashite ni Shilawadu fans...?! Polisisiem wataachaje kuwa Shilawadu...?!
 
Siku hizi ukitaka kuwa maarufu kwanza iseme serikali au CCM vibaya halafu ujiteke mwenyewe(kakae kwa kimada huko Ujiji)baada ya siku mbili ujitokeze Monduli na kujifanya hujui umefikaje huko.Siku hizi kutekwa au kufuatiliwa na Landcruizer imekuwa wimbo wa nitoke vipi .
Mfiatumbo...,

Umeshapokea posho yako, sasa uko huku kutetea watekaji na wauaji..., wala huoni haya...

Maneno matupu hayawezi kuwazindua nyie masisiem..., ni mpaka 26/ 4 ndio mtajua wananchi wanavyokerwa na ungese wenu..
 
Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Hata huyu JONATHAN KWEPE si wa kumwamini.
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya Rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa Rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ngabu hii umechemka mkuu..why you're trying to disconnect from the reality upon all credited nilizokuwa ntakupa comrade?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom