Nyani Ngabu,
Let me call you Nyani kasoro mkia,
Kuna Watz au Wabongo mnajifanya hamnazo na kuchukulia haya maswala ya watu kutekwa na kupotea kwa Watz wenzetu kama ni maigizo na kutafuta kick za kisiasa.....!!Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini upuuzi kama huo. Bwana Nyani naomba unijibu kwa kunishawishi kwa matukio haya 4 tu kama ni maigizo na kiki za Kisiasa:
- Je, kupigwa risasi na kuuawa kwa Acquline Akwlilina ni maigizo ya Polisi?
- Je, kutekwa na kupotea kwa Ben Saanane zaidi ya mwaka sasa ni maigizo ya kisiasa?
- Je, kutekwa na kupotea kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi ndugu Azory Gwanda ni maigizo ya JPM?
- Je, kupigwa risasi 38 kwa Mhe. Tundu Antipas Lissu ni maigizo ya kisiasa ya Serikali ya CCM?
- Je, kutekwa kwa Abdul Nondo jana na kutoweka akiwa maeneo ya UDSM na kupatikana Mafinga hajitambui ni igizo?
Kwako Bowie,
Hiyo serikali unayoiambia ifanye uchunguzi wa ndani kujua kama ni kweli Abdul Nondo alitekwa ni ipi hasa? Una maanisha hii Serikali ya CCM ambayo mpaka leo haijawaweza kutoa majibu kutoweka kwa Ben Saanane, kutoweka kwa Azory Gwanda, kupigwa risasi kwa Mhe.Tundu Lissu na juzi kuuawa kwa Akwilina...!!!
Tunajua mnaoleta hoja hizi mfu ni haohao Mafisi au Manyang'au wa CCM na lengo lenu ni kupoteza lengo au hoja ya msingi ili watu waendelee kufikiri Wapinzani ndo wanajiteka au kuteka watu......Nonsense!!.
Swali kwako muishiwa sana: Chama Twawala CCM na Serikali yao chini ya uongozi wa kibabe wa Bwana Magufuli wao ndio wanatawala nchi hii kwa sasa, Polisi,JWTZ, UWT,Magereza na Uhamiaji viko chini yao wanashindwaje kuwadhibiti CHADEMA au Wapinzani kama ndio wanaopanga au kusababisha huu utekaji na uuaji wa Viongozi wao wenyewe???
Kama ni kweli basi hatuna Serikali baali tuna vichaa fulani wanapigwa mbwembwe za kisiasa.....!!
''
Akili za kuambiwa changanya na za kwako....."Jakayo Mrisho Kikuete( Tanzanian retired Presida)