Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Sasa umesema nini. Kuingiza hoja za kijinga tu. Home of great thinkers my foot. So stupid. Mnaonekana kabisa sasa mbinu za kijinga. Kwani Lissu unayemshabikia kafanya nini singida. Watu mkitumwa ongeza na akili zako
Ila ile ya vichwa vya tren mlitengeneza bonge la movie.
 
sawa kwa akili zako , lakn umejiuliza kwann sasa. kwann haikua kupindi cha mkapa wala Jk. ok sawa ni sinema , je yule mwandishi wa mwananchi ataachia lini movie yake?? na ben saa nane kaenda mwezini?? hebu twambie mawazo alipo??

je Sugu kajifunga gerezani??

bila shaka ukiona machozi ya wengi jua kuna ajali kila mtu analia msiba wake. sasa ww naona hata jiran yako hajampata ya bongo subiri yakupate
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Unaonaje ukienda polisi ukatoa maelezo hayo ??
 
Eti ulimsikia akiongea na mtu mwenye sauti ya kike! Huu uongo mwingine haufai. Yaani mtu unasema alikuwa anajificha halafu aongee kwa loud speaker apange makutano. Danganya wajinga wenzio. Yaani alishindwa kuwasiliana naye kwa njia ambayo watu wenye masikio marefu kama wewe wasisikie?
 
Adi watu ndani ya basi wakakaa attention kumckiliza
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ujenzi wa flyover, no zaidi ya tukio LA kutengeneza, kuzindua hospitali ambao haina wauguzi na facilities nyingine pia tukio LA kutengeneza
 
Sasa umesema nini. Kuingiza hoja za kijinga tu. Home of great thinkers my foot. So stupid. Mnaonekana kabisa sasa mbinu za kijinga. Kwani Lissu unayemshabikia kafanya nini singida. Watu mkitumwa ongeza na akili zako
Kwahiyo cku hizi kama hujafanya kitu kwenu ndio unastahiri kufa ???? Ww umefanya nn kwenu mbona bado uko hai ebu jikiteni kwenye mada acheni kutuchanganyia mafile hapa
 
Wameanza kujificha kwa mjomba siku zijazo hao ndio watakuwa watekaji ili lawama ziende kwa serikali!!
 
YANI tatizo sio michezo.. Tatizo ndio tabia ya serikali hii.. Kwani miaka ya zamani mbona kulikuwa na kesi za watu kutekwa lakini Serikali ilikuwa haibebeshwi lawama kila kesi..!??? Sasa siku hizi ukisikia hata Kuna Ng'ombe imetekwa yani serikali lazima ilaumiwe kwanza...
 
Matukio ya kutengeneza indeed!
 
Mmemtupa mafinga alfu umekuja mbio mbio kufungua uzi humu. Hta la lissu si mlsema la kutengeneza. ROma naye mlisema ivyo ivyo wanahram nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom