Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Serikali isifanyie mzaha hawa watu wanaotafuta kiki kwa kuichafua serikali. Lazima uchunguzi wa ndani ufanyike kujua huyu anadai alitekwa kama maelezo yake ni ya kweli
Serikali ndo inatafuta kiki
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.

HATA MIMI NAHISI HIVYO HIVYO, HAYA YOTE NI YA KUPIKA ILI SERIKALI IJIONDOE NA LAWAMA

IRUHUSU WACHUNGUZI WA KIMATAIFA KWA HAYO MATUKIO YOTE ILI TUKATE MZIZI WA FITINA TUENDELEE KUJENGA NCHI YA VIWANDA SIO NCHI YA HISIA HASI KILA SIKU
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Matukio ya kutengeneza kweli we ni mchumia tumbo
 
Ben saanane ,azori, kwa miaka miwili na siku zaidi ya mia azori wamejificha tu na usanii kama unavyosema, time Will tell
 
Hawa watu wataendelea kucheza hii michezo ya kuigiza mpaka lini. Eti oh nimetekwa, huku bado unatumia simu. Kutekwa gani huko?

Hata mimi hili la eti 'kutekwa' limekuwa likinishangaza sana...unakuta mtu mzima na wengine hata wabunge wanalialia oooh nafuatiliwana 'watu wasiojulikana'...yaani kinachoitwa 'watu wasiojulikana' umekuwa ni msemo mpya mitaani...hata yule mwanafunzi aliyeposti 'picha' za nyufa kwenye hosteli za Magufuli eti naye anadai anafuatiliwa na 'watu wasiojulikana'...very childish....Hivi unadhani wakitaka kukukamata watashindwa kweli?
 
Najua matusi yanafuata lakini wacha niseme mawazo yango.

Napata hisia kama zako juu ya matukio haya.
Huyu dogo wanasema alianza kutishwa siku za karibuni lakini bado aliendelea kutochukua tahadhari na kutembea saa 6 usiku peke yake. Inashangaza kama huyo ni msomi wa UDSM.

Pili alipata wasaa wa kutuma ujumbe yupo hatarini badala ya kupiga simu kwa watu wake waje waambatane kwenda mahali
salama. Na kukaa mahali walipo watu wengi huku akisubiri msaada. Au unapiga simu namba za dharula kuomba msaada kwamba unavamiwa.

Maswali mengi lakini mengine naweka kiporo.

tundulisu alitoa taarifa lakini hakuna kilichofanyika mwishoe alipigwa risasi

kutembea mwenyewe sio kosa kisheria maana jukumu la ulinzi na usalama nila kila raia sasa huwezi mlazimisha mtu kutembea group ata akiwa anafanya personal issues
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.

Ila tukio hili linastaajabisha sana kwa sababu watengenezaji ni wapambe wa mkulu mwenyewe!Kada wa chama aishie Dar anapanga tukio na kusafiri na mwanafunzi hadi Sao hill kisha mgeni huyo aishie Dar anakuwa wa kwanza kumuokota mtekwaji?

Wakazi wa Mafinga ambao ni wengi zaidi ya huyo mkazi wa Dar hawakumuona huyo mwanafunzi pamoja na wingi wao wote,yeye peke yake ndiye aliyekuwa na bahati ya "kumuokota" huyo mwanafunzi!

Namuomba huyo jamaa aendelee kuzunguka na maeneo mengine huenda akawaokota Ben na Azori maana anaonekana ana bahati ya kuokota watu kama mukulu alivyo na bahati ya kuokota mandinga na ma vichwa ya treni pale bandarini!
 
Hata watekaji wanaweza kufanya kitu uonekane amejiteka pia.. Haya mambo ni magumu mno.
 
Ni saa ngapi mtu atatekwa tuamini na ni saa ngapi mtu atatekwa tupuuze wakati kuna waliotekwa na wakatoweka hadi leo hawajaonekana!

Nahisi ni hawa hawa watekaji ndio wanacheza na akili za watu wakitumia advantage ya serikali kutokufanya uchunguzi japo kwa serikali tukio lolote wanatakiwa kulichukulia seriously.

Kwa kuwa wanaotekwa ni watu wanaoonekana kuikosoa serikali hii inatufanya tuamini kuwa ni wao ndio washukiwa wakuu wa uhalifu huu.
 
Hizi akili za akina musiba hizi mh! zitazidi kuliangamiza taifa hili naapa. zero brain!
 
Kwa hiyo ni jukumu la nani kuhakikisha hii taharuki inatoweka kwa wananchi. Kuna siku unatoa hoja nzuri lkn sometime ukiwa kwenye siku zako unatoa mashudu. Umeshindwa kutambua jukumu la kuhakikisha usalama kwa raia ni la nani kabla ya kuposti huu uzi wako?
Huyu mtu bana ...utawala huu umem punguzia uwezo wa kufikiri..... Niidhani ni bonge la mjanja kumbe mtupu kabisa.
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Nafatilia siti namba na tarehe ya safari
 
Eti ulimsikia akiongea na mtu mwenye sauti ya kike! Huu uongo mwingine haufai. Yaani mtu unasema alikuwa anajificha halafu aongee kwa loud speaker apange makutano. Danganya wajinga wenzio. Yaani alishindwa kuwasiliana naye kwa njia ambayo watu wenye masikio marefu kama wewe wasisikie?
Kwanumeambiwa iliwekwa loud speaker
Unapikuwa makini sana na utuliv wa hal ya juu unaweza sikiliza maongezi ya simu jiran yako unaweza usijue undani haswa ila ukapata kitu fla
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.

Sichelei kusema huenda ukawa na tatizo kichwani kwa jinsi unavyo waza ingawa pia unao Uhuru wa kuwaza..lakini mawazo huru ya watu hupimwa na watu
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Ni vizuri Polisi wamepata pa kuanzia. Waende bus LA New force waangalie walimkatia nani tiketi ya hiyo siti yako ili uwape hayo maelezo au jipeleke kutoa huo ushahidi ili kuweka sawa swala hili
 
Kwanumeambiwa iliwekwa loud speaker
Unapikuwa makini sana na utuliv wa hal ya juu unaweza sikiliza maongezi ya simu jiran yako unaweza usijue undani haswa ila ukapata kitu fla
Basi likiwa kwenye Mwendo utulivu unatokea wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom