GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,639
Jamani mchina ni level nyingune lile bus T226DJQ lina gps tracker na kuna camera za siri, haya ngoja wadogo waumbuke sasa. Naomba sirro awachukue maelezo wafanyakazi wa hilo bus ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya huyu dogo mshenzi.
Waliokuelewa ulichokiandika hapa watanisaidia kunielewesha.