Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.
Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.
Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:
FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:
HALIMA MDEE alisema (paraphrase):

Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.
FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)

Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.
ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.
Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and
HE KILLS HIS OWN PEOPLE.
Huu usemi kuwa
"ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.
Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.
Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:
Magufuli hafai,
ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is
KILLING HIS OWN PEOPLE.
DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.
Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.
NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni
fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?