Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Kuna propaganda sana.na watanzania wamezibwa macho na maskio
 
Huwezi kufanya vita ya uchumi ukapendwa na watu waliokuwa wanafaidia kwa wizi wa pesa za wavuja jasho. So ni lazima tu wamchukie and tulio wengi bado tunampenda na tunamwamini. So wao waandamane hata mm nitashiriki kuwapinga
 
Najua waTZ walivyo wavivu kusoma.
Wengine tumesoma na kugundua ubunifu wako. Je, umewahi kuona report yoyote ya polisi kuhusu; Roma mkatoliki, Ben saanane, Azory, Mwangosi, TAML na orodha ni ndefu mno! Wewe unataka kuwaambia kuwa haya yote no mkakati wa wapinzani wa rais kutaka kumchafua?

Mimi nafikiri tuendelee kungojea maelezo ya polisi kuhusu haya yote na mengine mengi (bila kujali itachukua muda gani); Na wewe labda ni vizuri ungojee sana mpaka siku yatakapo kukuta kwa karibu zaidi, labda ndo utakuwa na ubunifu chanya zaidi.

Je, yawezekana wewe ndo mvivu wa kufanya upembuzi makini kuhusiana na hali halisi ya nchi ilivyo? Tafakari sana!
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Yaani kama police na vyombo vyetu vya usalama wanashindwa kubainisha hili basi kama nchi tuna matatizo!!
 
Naona unaparaphrase badala ya kuquote.

CHADEMA ndio walitumia risasi za moto kujitawanya pale mkwajuni? Acheni kumtafuta mchawi wakati mchawi hasa anafahamika.
Nime-paraphrase kwa sababu sina clip yao bali nakumbuka walichosema.

Mimi namuomba tu Jaji Mutungi awasamehe lakini kama atafuata sheria CDM wanapaswa kufunga ofisi zao sasa hivi.
 
What a useless argument. Katika nchi hii wenye silaha na instruments of power ni Amina nani? Ni nani ambaye hataki kukosolewa hata pale ambapo amekosea?
 
Lets assume upo sahihi. Kama ni hivyo Serikali q ambayo ndio ina vyombo vya usalama ichunguze na kuwafikisha Mahakamani.Serikali hizi zetu zikipata sababu kama hizo kwa upande wa upinzani itachukua hatua haraka sana.
Subra Sheikh, subra.
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.

Fikiria mtu anatekwa anatuma msg kuwa niko hatarini halafu baada ya hapo mawasiliano yanakatika. Huyo mtekaji atakayekupa muda wa kuandika msg ana lengo la kuteka kweli?
 
Inawezekana kweli Ben Saanane kajificha kwa mjomba wake na Jeshi la polisi mpaka sasa halijui. Amejificha zaidi ya mwaka ili kuichafua Serikali.

Inawezekana kweli Azory pia amejificha na mpaka sasa familia yake inazunguka kumtafuta. Yote hii ili kuichafua serikali.

Inawezekana miili inayookotwa Coco ni watu wamejiua ili kuichafua Serikali. Au wapinzani wamewaua hao watu ili kuichafua Serikali na Jeshi la polisi halijui.

Inawezekana kina Roma walijificha au kutekwa na upinzani na mpaka leo Jeshi la polisi halijui.

Inawezekana Lissu hakupigwa risasi au alipigwa na upinzani ili kuichafua Serikali na mpaka sasa Jeshi la polisi halijui.

Inawezekana ofisi za IMMMA advocates zililipuliwa na Mbowe na Jeshi la Polisi halijui chochote.

Kutekwa na kupotea inawatokea tu wanaoikosoa Serikali na Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa haujui chochote.

Mwisho hili jambo linageuzwa kuwa la vyama?
 
Nime-paraphrase kwa sababu sina clip yao bali nakumbuka walichosema.

Mimi namuomba tu Jaji Mutungi awasamehe lakini kama atafuata sheria CDM wanapaswa kufunga ofisi zao sasa hivi.
Human memory sucks. Hivyo hayo maneno unadhani yalisemwa lakini huna uhakika. Kwasababu hoja zako zimejengwa kwa maneno ya kudhani na si ukweli, hoja zote ulizoleta haziwezi kukubalika.

Swali langu hukujibu mkuu.

Isitoshe, sheria ni msumeno. Kumbe huyo Jaji ana uwezo wa kusamehe tu wavunja sheria kama anavyosamehe CCM kwa makosa kibao wanayofanya kisheria?
 
Kwa hiyo ni jukumu la nani kuhakikisha hii taharuki inatoweka kwa wananchi. Kuna siku unatoa hoja nzuri lkn sometime ukiwa kwenye siku zako unatoa mashudu. Umeshindwa kutambua jukumu la kuhakikisha usalama kwa raia ni la nani kabla ya kuposti huu uzi wako?

Mtu anajiondokea kwa miguu yake kwenda kwao huku nyuma anaaminisha watu ametekwa. Sasa nani aingilie kati kuondoa upuuzi kama huo?
 
I think so!!!
Wenzie wanatupwaga huko maeneo ya "kunduchi kunduchi" huyu eti kasafiri to Mafinga,alitekwa usiku wa kuamkia jana,jioni ya jana kapatikana Mafinga,huyu lazima kapanda basi la Mbeya/Tunduma kisha kachuka pale Mafinga alafu kaenda kujilaza vichakani but mvua ikamkurupua tu lazima!!na polisi waichukue hii inshu serious na uchunguzi wa kina ufanyike ili kuufuta uhuni huu milele!!
 
Nime-paraphrase kwa sababu sina clip yao bali nakumbuka walichosema.

Mimi namuomba tu Jaji Mutungi awasamehe lakini kama atafuata sheria CDM wanapaswa kufunga ofisi zao sasa hivi.
Haya ni mawazo ya kutaka kutawala bila ya kuwa na check and control. Upinzani sio kazi yao kuimba mapambio ya kusifia watawala. Kama mnataka CHAMA kimoja ili mtawale milele fanyeni hivyo kwa kupiga
Marufuku kupitiia Bunge.
 
ngoja akuteke na wewe mama..
Saanane aliyezungumzia pHD feki ndio alienda jumla, Azory bado hatujakata tamaa..
masheikh walirudi baada ya siku 24, Roma tulitabiriwa na Bashite kwamba atarudi jumapili akarudi kweli..
wanachadema watatu mliwapiga risasi utadhani sio watanzania, mlipoona hawakufa mkawasomba mahakamani..
walafi wa madaraka...
watekaji
wauwaji..
 
Back
Top Bottom