Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Ya Mungu Mengi
Ben na Azory bado wapo kwa wajomba zao!!!??...Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.
Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.
Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.
Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ben na Azory bado wapo kwa wajomba zao!!!??...
Wapo kwa wajomba zaoKawaulize wajomba zao.
Wapo kwa wajomba zao
Niulize nini tena wakati wapo kwa wajomba zao?Haya kaulize huko.
Hadithi hii kakufundisha nani vile?.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao
Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara
Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu
Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.
Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha
Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini
Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO
HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII
*JONATHANA KWEPE*
Matukio ya kutengeneza:
1.Magufuli kusema vichwa vya treni havina mmiliki kumbe ni vya serikali!
2. Sakata la acacia na makinikia.
3.....
Niulize nini tena wakati wapo kwa wajomba zao?
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
Ningekushauri ukaisoma post yako viziuuri ujifanye kama hujaituma wewe utagundua ulipokosea mkuuNajua waTZ walivyo wavivu kusoma.
Kwa nini usunisaidie ili nione nilipokosea?Ningekushauri ukaisoma post yako viziuuri ujifanye kama hujaituma wewe utagundua ulipokosea mkuu
Dhana fikirishi mbunge bashe alisema tuwauwe wapinzani wa ccm,vilevile mbunge mchaguliwa wa kinondoni mtulia alisema kwasasa ana simu ya rais na hatauwawa na polisi. Hata dola kubaguwa watu kufanya siasa kwasababu tunaona mzee polepole kuchwa kutwa anafanya maandamano na mikutano ya hadhara bila bugudha ya polisi wala msajili wa vyama mm kwaupande wangu naona mkulu anataka watu wakose raha ktk nchi yao iliawauwe hakikaKuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.
Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.
Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.
xxxxxxxxxxxxxxxxxccc
Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:
FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:
HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.
FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.
ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.
Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.
Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.
Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.
Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:
Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.
DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.
Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.
NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.Dhana fikirishi mbunge bashe alisema tuwauwe wapinzani wa ccm,vilevile mbunge mchaguliwa wa kinondoni mtulia alisema kwasasa ana simu ya rais na hatauwawa na polisi. Hata dola kubaguwa watu kufanya siasa kwasababu tunaona mzee polepole kuchwa kutwa anafanya maandamano na mikutano ya hadhara bila bugudha ya polisi wala msajili wa vyama mm kwaupande wangu naona mkulu anataka watu wakose raha ktk nchi yao iliawauwe hakika