Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Chadema itashinda tu kwa wavuta bangi Arusha na Karatu!
Not Igunga!

Hujui ka bangi ni mmea mtakatifu ambao una uwezo wa kuincrease selfconcsiousness & awerness thats why wengi wanaupiga vita ili dunian watu wasierevuke?
 
Na wao ITV wana viherehere.wanavyoshupalia matokeo ya igunga kana kwamba ni uchaguzi wa nchi nzima.yaani si jambo zuri hata kidogo.ni sawa na kuchochea mapinduzi.ni ushabiki wa kijinga kabisa.mbona MV ISLANDER ilipozama hawakuwa na vihelehele namna hii.shikeni jembe mkalime toka kwenye TV .CCM hata kwa kuchakachua LAZIMA ishinde.

Mmh! Kweli kuchelewa kufa kuona mengi, khaa!
 
CCM Juu, juuu, juuuuuuu zaidi. Magwanda mpooo? dakika za majeruhi.
 
we need political changes in Tanzania, tumechoka kuibiwa na kufanywa majuha.soon tz itakuwa kama Zambia. you can fool poeple but you cant fool them all the time.kiama kwa CCM.
 
Sikufika maeneo yote< kama Igurubi sijapata matokeo…. lakini Huwezi kusema moja kwa moja nani ni mshindi japo inaonekana kwamba CCM wanaweza kushinda> dalili ngumu kusema moja kwa moja maana mjini Chadema wanaongoza kwa zaidi ya nusu mfano vituo vya mwanzo Chadema walikuwa na kura 104 na CCM 78.


Hata hivyo maeneo mengi na wanaopoongoza Chadema na CCM pia wamepata kura za kutosha kuongeza idadi wakati maeneo ambayo CCM wanaongoza wanakuwa wamewaacha Chadema kwa kura nyingi.
Mashabiki wa chadema Igunga mjini walianza kushangilia wakataka matokeo yatangazwe wakiamini kwamba matokeo ya mjini ndio ya jimbo zima na baada ya matokeo ya maeneo mengine kufika mjini, vijana wa Chadema waliozingira eneo la kutangaziwa matokeo (Halmashauri) wakapoa….
Kwa mfano Nkinga ambako ni ngome ya Chadema CCM imepata kura 1479 na Chadema 1087, na kata ya Itumba nyumbani kwa Dk Kafumu Chadema wamepata 560 na CCM 1078 na Itobo CCM 730 na Chadema 362.
Kata ya Igurubi kwenye Waislamu wengi, mchuano ulitarajiwa kuwa kati ya CCM na CUF japo inaonekana kwamba Chadema sasa wamepata kura nyingi isivyotarajiwa kutokana na kuanguka vibaya kwa CUF kwa kuonekana hawajulikani ni wapinzani ama chama tawala.
Matokeo ya awali yanamuweka pabaya Mwenyekikiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba ambaye anatokea mkoani Tabora kwa kuzidiwa vibaya na Chadema.
 
Oyaa mliopo home acheni maskhara tupeni matokeo ya ukweli na mtu kama huna matokeo ya uhakika sio lzm uachie comnt yako hap!
 
Chombo cha habari huru kinawezaje kutishwa sehemu ambayo hakijavunja sheria na wao wakaogopa basi hao si huru ni wafungwa. Vyombo vyetu vya habari jinasueni katika hiyo minyororo ya utumwa hakuna mtakachopoteza ila hiyo minyororo
 
Ukimya wa sasa hivi unaleta mashaka! Mbona hawatangazi matokeo ya vituo na kata zingine? Hata star tv hakuna jipya!
 
Latest Updates....

[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl72, width: 64"][/TD]
[TD="class: xl68, width: 64"]CCM
[/TD]
[TD="class: xl69, width: 64"]CDM
[/TD]
[TD="class: xl70, width: 64"]CUF
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl66"]63
[/TD]
[TD="class: xl66"]78
[/TD]
[TD="class: xl66"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]41
[/TD]
[TD="class: xl65"]33
[/TD]
[TD="class: xl65"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]35
[/TD]
[TD="class: xl65"]20
[/TD]
[TD="class: xl65"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"]51
[/TD]
[TD="class: xl67"]57
[/TD]
[TD="class: xl67"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"]45
[/TD]
[TD="class: xl67"]31
[/TD]
[TD="class: xl67"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl72"]JUMLA
[/TD]
[TD="class: xl68"]235
[/TD]
[TD="class: xl69"]219
[/TD]
[TD="class: xl70"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Yeeeeeeeeeeeeeeeeees! "Changes are inevitable and unstoppable...NEITHER ARMIES nor GUNS, NEITHER RULERS nor A GROUP OF CULPRITS!...THE TIME IS NOW!..YES WE CAN CHANGE TANZANIA". MUNGU IBARIKI TZ
 
Tatizo la chadema ndio hilo..kila siku mnasingizia kuibiwa! Kuweni na demokrasia ya kweli..kubalini kushindwa.
Jipangeni kisera na kichama pia. Bado mpo nyuma sana. Mmahitaji kama 4O yrz muwe kwenye level ya CCM
Hayo mawazo wallah ni ya kina kingunge, sijui we ni rika lao???shkamoo mzee, siwezi kubishana na wazee wangu. ngoja tu niheshimu umri wako mzee. Ila kama upo ccm kwa ajili ya sera nzuri naomba nkuulize swali mzee.Hivi CCM mnafwata sera gani???Ubepari, ufisadi au ya ujamaa na kujitegemea??
 
Magamba kwisha!!! Madereva wa CDM waliopo Igunga wamepewa hali ya standby -- watafute mafuta wajaze ili magari yaingie mitaani kusherehekea. Hii si utani, imetoka katika vikao vya juu vya CDM ambao wamekuwa kimya muda mrefu wakijumlisha data za kutoka kwa mawakala wa chama walio vituoni.

Peoplesssssssssss!!!

Yaweza ikwa kweli maana kwa taarifa zilizotolewa awali CDM ilikuwa inahitaji ushindi wa kata moja tu ili ichukue jimbo. ilikuwa inaongoza kwa kata 12
 
CCM Juu, juuu, juuuuuuu zaidi. Magwanda mpooo? dakika za majeruhi.

Magwanda we have never run away from the Forum whether we are defeated or we win! We are here to stay Mpaka Kieleweke
 
Eeh naona Dr Slaa anapiga watu picha hapa sijui anataka azipeleke wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom