Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Who is a loser? Me or U?
Am always in the winning side.
We have won..well done CCM!
Nyinyi nadhani ndo wabebaji wa mabox ya kura bandia, wawezaje kusema mmeshinda wakati matokeo bado yanatangazwa???nyinyi wezi siku zenu zinahesabika. Jueni kuwa siku zote haki haijawahi kushindwa na dhuruma.
 
CCM hali ni ngumu sana, mkurugenzi ameambiwa kama anataka aendelee na kazi ni lazima atangaze ccm kushinda!
Makada wa ccm waliopewa pesa kuwapa mawakala wa chadema ili wabadilishe matokeo wamebebwa kwenye gari za polisi, wakuu kuweni makini na hilo!

hebu tupe ufafanuzi wa hawo waliobebwa kwenye magari ya polisi. kwani mkurugenzi asipotangaza cmm watamfanya nini? ningekuwa mimi mkurugenzi natangaza mshindi halali siku ya pili naacha kazi najiunga na peoples power kama walivyofanya wale mawaziri wa gadaffi libya
 
tanesco kachukua umemewake sijui tunamalizaje mwaya!!!mmhh
 
Thanks kwa updates,lkn CHADEMA wanaonekana kufanya vema karibu vituo vingi! Lkn kuna matokeo ya kata moja CCM inaonyesha kuongoza zaidi ya kura 1000, CDM 500..!

hapo lazima utendaji umefanyika
 
hakuna kulala mpaka kieleweke!!!????? kama ktk mpira kukubali kushindwa ni mpaka dk 90 tutamini mpaka watu wamesaini matokeo ndo tutajua mbivu na mbichi otherwise peooooopleeeeea poweeeeeeeeeer
nb MTOTO FATMAH NYANGASAH WE WA UKWELI
 
hakuna matokeo ya uhakika,matokea mpaka sasa ni yale ya kata 4 zilizotangazwa na radio one,na ambazo wamedai ccm zote wanaongoza hizo kata 4 bado kata 22,radio one hawajatangaza kitu toka saa moja na dk 50 mpaka sasa.
 
Bure kabisa, hamna kitu hapa. Zile taarifa zinazotangazwa na vyombo mbali mbali ikiwemo JF ni taarifa ambazo ni mali ya umma na wala si miliki ya CCM na Tume ya Uchaguzi.

Wana-JF tuendelee kutiririsha taarifa zote hadharani from minute-to-minute bila woga wala upendeleo. Siku zote CCM hunufika kwenye chaguzi zetu kwa kutumia tu silaha moja:
KUHODHI TAARIFA ZA MATOKEO NA HATIMAYE KUZICHEZEA KAMARI.

Machaliii kote nchini safari hii tutazaa na mtu yeyote atakayechezea mtokeo na moto mkubwa kuzuka kote nchini juu ya hilo.
 
naangalia star tv - wanazungumza lugha ya mganga anaye agua na neno la "tawile". laikini wanaonyesha kuwa mahala pengi cdm walipoongoza ni kwa margin ndogo kuliko pale ccm inapoongoza - lakini bado ni mapema.
 
japo kwa hali inayojionesha kuwa ccm itashinda, wananchi wengi wanaonesha kuelewa kuwa nchi ina matatizo ukilinganisgha na zamani maana tofauti ni ndogo sana.
 
Nyinyi nadhani ndo wabebaji wa mabox ya kura bandia, wawezaje kusema mmeshinda wakati matokeo bado yanatangazwa???nyinyi wezi siku zenu zinahesabika. Jueni kuwa siku zote haki haijawahi kushindwa na dhuruma.
Tatizo la chadema ndio hilo..kila siku mnasingizia kuibiwa! Kuweni na demokrasia ya kweli..kubalini kushindwa.
Jipangeni kisera na kichama pia. Bado mpo nyuma sana. Mmahitaji kama 4O yrz muwe kwenye level ya CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom