JAPUONY
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 383
- 186
Mie niko USA, matokeo ya Igunga huku tunayafuatilia kwa karibu na wa TZ woteeeeeeeeeeeee tunaiomba ushindi CHADEMA! CCM inatakiwa kujua kuwa muda wao wa kutawala umefika kikomo na 2015 ndo mwisho wao!! Pepleszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzpowerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!