Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Hujui ka bangi ni mmea mtakatifu ambao una uwezo wa kuincrease selfconcsiousness & awerness thats why wengi wanaupiga vita ili dunian watu wasierevuke?
Slaa naye anatumia?
Mbowe na Lema ni obvious wanatumia.
Tundu Lisu naona naye kashaanza!
Waliopona naona ni Zitto na Mnyika tu
 
na iwe hivyo, na sasa wataamini bila uchakachuaji Chadema ilikuwa inaongoza nchi baada ya uchaguzi wa 2010
 
Mhhh! Toka lini wazee wa fitna wanaacha fitna?
 
Slaa naye anatumia?
Mbowe na Lema ni obvious wanatumia.
Tundu Lisu naona naye kashaanza!
Waliopona naona ni Zitto na Mnyika tu
je we utakuwa unatumia nini sasa?
 
Hivi nntaamka asubuhi salama kweli!!!?Mungu ibariki Chadema
 
chama cha magamba watashnda huu uchaguzi kwa sababu
1. ujinga bado unatawala tanzania
2.wanyamwezi si wepesi wa mabadiliko 'nduhu tabu'
3.dola bado wanaitumia vzuri
CHADEMA MARA HII MTASHINDWA KIHALALI
NALALA KESHO SAA KUMI NA MBILI NITAAMKA NA MMBUNGE TAYARI AMESHATANGAZWA
 
jamani tusubiri matokeo,papara ya nini. Mtoto yake ni nepi tu,mkongwe ataibuka mshindi
 
mpaka sasa saa 3 na dk 50 kissfm ya star tv ndio wamesema mpaka sasa vituo vilivyoesabiwa chadema wanaongoza,bado hawajajumlisha,radio one wana mziki tu.
 
Chadema itashinda tu kwa wavuta bangi Arusha na Karatu!
Not Igunga!

Hujui ka bangi ni mmea mtakatifu ambao una uwezo wa kuincrease selfconcsiousness & awerness thats why wengi wanaupiga vita ili dunian watu wasierevuke?
 
Shame on you GREAT STINCKER. ITV chombo cha habari kamili kisichohitaji maelekezo yako jinsi gani wakafnye kazi zao. Ondoa hizi kauli za mfumo wa chama kimoja hapo.

Nashangaa uzamani umeutoka ila wewe uzamani umekukaa kweli kweli!!!!


Na wao ITV wana viherehere.wanavyoshupalia matokeo ya igunga kana kwamba ni uchaguzi wa nchi nzima.yaani si jambo zuri hata kidogo.ni sawa na kuchochea mapinduzi.ni ushabiki wa kijinga kabisa.mbona MV ISLANDER ilipozama hawakuwa na vihelehele namna hii.shikeni jembe mkalime toka kwenye TV .CCM hata kwa kuchakachua LAZIMA ishinde.
 
Yanataka yaletwe yale yale ya Biharamulo mwaka juzi. Zito alitangaza CDM kushinda kwa kura 1,200 lakini Msimamizi alisema bado matokeo ya kata mbili za mbali badi hayajawekwa kwani yalikuwa na utata. Yalipokuja yaliipa CCM kura 2600.
 
Thanks kwa updates,lkn CHADEMA wanaonekana kufanya vema karibu vituo vingi! Lkn kuna matokeo ya kata moja CCM inaonyesha kuongoza zaidi ya kura 1000, CDM 500..!

Huyo aliereport matokeo ya Kata haielewek katoa wap matokeo, 7bu matokeo yanajumlishwa kwenye vituo na kwa mkurugenzi tu, hakuna ujumlishaji wa matokeo kwenye kata, nafikiri hyo imewafanya ITV wasiendelee na matangazo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom