Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Jamani nasikia kuwa matokeo ya kata za 24, tupeni update ukijumlisha matokeo hayo nani anaongoza?
 
kwa mujibu wa updates nilizonazo ni kwamba uchakachuaji kwenye uchaguzi wa jimbo la igunga ni mdogo sana hivyo matokeo yatakayokuja tuyaheshimu.wana wa igunga wameamua hivyo!tuwe na subira na tuheshimu matokeo,tusonge mbele huku tukiamini change is coming!tunaelekea halmashauri ya wilaya ya igunga kwa matokeo
source:secret service
 
Nasikiliza jungu kuu tbc mtangazaji analalamika kuwa mashabiki wa upinzani wameanza kushangilia kabla ya matokeo kutangazwa. Anadai vijana wa cdm wamejaa nje ya ukumbi wa kutangazia matokeo, umbali wa meta 50 wakiimba kusubiri kutangaziwa ushindi na hawaoneshi dalili ya kuondoka mpaka kieleweke.
my take: mabadiliko huletwa na vijana na kwa tz, saa ya ukombozi ni sasa.

Hawa ndiyo wale vijana 1400 mliowatoa Arusha, na Mwanza kuja kusaidia katika uchaguzi???.
 
Tatizo ni sera Mbovu za wapinzani.
Hawana mikakati ya kuimarisha vyama vyao. Wanaangalia wao binafsi wananufaika na nini.

Hhaahaha ahahahaha! sera za CCM siku hizi si ni kuelezea the so called"ubaya wa CHADEMA" ? Regardless matokeo ya mwisho yatakavyokuwa, kama kawaida yenu mtaanza kulaumiana, kutuhumiana, na kutishiana kufukuzana wasioenda na nyie mliokatazwa kwenda Igunga. Stori yenu ya gamba will keep on eating on ya!!!!! hahahaha ahahaha ahahaha...... RA kidumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee cha CCM!!! Makundi yenu sasa kila mtu atataka pa kutokea.
 
hapo ndipo wanapokosea Chadema... wananunua nepi kabla mtoto hajazaliwa. matokeo haya si ya kushangilia. watakuja kushangaa baada ya muda si mrefu

boro washangilie mapema, inaweza kuwa ni njia ya kuwatisha magamba wasichakachue.
 
Híi inaonyesha Picha halisi ya 2015 itakavyokuwa..BYE BYE magamba.
 
Hi Candidscope,
sawa lakini hao vijana watajiandikisha vp ikiwa NEC haijawapa nafasi? Sidhani kama hapo ndipo penye kitovu cha tatizo. Mi nafikiri tatizo kubwa hasa ni Katiba ya sasa. Lazima ipatikane Katiba mpya kabla ya 2015.
 
hivi na nyie wafuatilia msiwe wavivu kufikiria kwenye vituo cdm wanaongoza kwenye kura za jumla ccm wanaongoza hivi hili swala mnalichukuliaje? hapa hata ya bila kuwa mnazi wa chama chochote hivi hiki kitu mnakionaje..

kuna vituo ccm inaongoza pia. Tena kwa kura nyingi sana.
 
Jamani nasikia kuwa matokeo ya kata za 24, tupeni update ukijumlisha matokeo hayo nani anaongoza?

CCM kata 16 na CDM kata 7 bado wanamalizia mahesabu ya kata 3 za mwisho, jumla ni kata 26 na vituo zaidi ya 400 mkuu.
 
jamani leo nimeenjoy dah Fatmah Nyangasa amenivutie duh yule binti aliumbwa asubuhi, hata ka CDM tumeshindwa Igunga yule binti kanisuuza roho mweeeeeh!
 
twede sawa ma people ...tuko pamoja mpaka mwisho wa nyakati
 
Ni bora tu kusubiri ale ya mwisho ndo tuone but uvumilivu unahitajika jamani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom