Tayari SIkwani matokeo yashatangazwa??we rejao mtu wangu vipi
Kwa kawaida mshindi ndiyo anayepongezwa. Sasa unapongeza magwanda kwa lipi?
Hujawatendea haki kabisa wakazi wa Njombe na Iringa kwa ujumla. Hivi huyo mgombea wa CHADEMA hata angekuwa ng'ombe alipaswa achaguliwe kwa kuwa tu ni wa chadema? Huwezi kujua wananjombe na Iringa kwa ujumla walikuwa wana criteria gani za kumchagua huyo wa CCM. Si ajabu wa chadema ni mnywa gongo tu? Nashabikia mageuzi lakini siungi mkono bora mageuzi, napendelea mageuzi ya ukweli. Kama mgombea wa CHADEMA ni mbovu, bora asichaguliwe maana anaweza kututia aibu na kurudisha nyuma heshima ya chama.Mijitu ya njombe ingekuwa amri ilitakiwa wapelekwe sayari ya jupiter,ndio inaleta ukauziba wa maendeleo hapa tz malofa wakubwa sana
Pole Rejao na magamba wenzako!Poleni Chadema!
Hongera sana CCM
KAMPENI za uchaguzi wa ubunge Jimbo la Igunga, zikiwa zinaelekea ukingoni vita sasa imepamba moto kati ya vyama vinavyoshindana kwa karibu vya CCM, CUF na CHADEMA, kila kimoja kikifanya ukachero kuumbua kinaoamini ni washindani wake, ikiwamo kufichua hadi njama za chama kimojawapo kutaka kushangilia ushindi kabla matokeo kutangazwa rasmi.
Huku kukiwa na hofu ya vyama viwili vya upinzani vya CUF na CHADEMA kugawa kura kutokana na kushambuliana, hali si shwari ndani ya CCM ambako kuna hofu kubwa ya baadhi ya wanachama wake kufanya hujuma kwa sababu mbalimbali ili chama hicho kishindwe uchaguzi huo.
ngoja nifke hme,mana igunga imenichanganya cjui kama nitaweza kula,makunga lazima aundiwe tume
Haya matokeo yametoka ya kata zote au bado hapaeleweki...
CCM wanashangilia tu!Pole Rejao na magamba wenzako!
People's................, power!
Hahaahaha..poleeeMaumivu huanza polepole