Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
cHADEEEEMAAAA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE SISISSI SINLISEMAAA SISSISISS SINLISEMAAAAAAA HOYEEEEEEE HEKO CHADEMAAAAA HHAHAAHAHH NA RAHAA SANA NKO MJINI HAPA TUMEJUMLISHA KILA KITU KIUNDERCOVER MAMBO NI BWREEEEE BWEREREREEEE

Mmejumlisha matokeo ya Karatu au?
 
mengine haya shule ya msingi igunga
CCM kituo a,b,c-64,67,70
CDM kituo a,b,c-84,63,66
choma maeneo ya ushirika
CCM 56,55,11
CDM 59,65,62
KITUO HICHI NIMEPOTEZA JINA LAKE MATOKEO YALIKUA HIVI
CCM kituo a,b,c-56,71,63
CDM kituo a,b,c-57,67,85
CUF IMEPATA KURA ZA NAMBA ZA MALAPA NA NIMEONA AIBU KUZIANDIKA. SORRY

Mods tusaidieni kuzi Update kule juu na kuwe na Jedwali la chini linalo onyesha Jumla Kuu kwa vyama vyote Tafadhali sana.
 
CCM chama cha wazandiki, wachawi tena wanafiki na makada wa ibilis hakuna anaewataka, hata SHETANI hawapend tena!igunga lazma waipoteze,CDM wataichukua vyovyote vle pumbaaaaf xanaa....!
 
peoplesss power, HIVI LI MKAPA na litumbo lake lintavuna aibu gani? ufisadi mwisho
 
Huyu Mwita wa vijiji vya Mbeya kweli anayo roho ya paka. Mabadiliko hayazuiliki tena Tanzania wala mtu asipoteze muda wake kuzuia maji yatiririkayo toka juu mlimani kuchukua mkondo stahiki na kwa muda mwafaka.
 
Kituo cha Ziba CCM 420 Chadema 390


KATA nzima ya Nkinga 1479 CCM, Chadema 1087

KATA nzima ya Itumba nyumbani kwa Dk Kafumu wa CCM
Chadema 560 CCM 1078

Kata nzima ya Itobo CCM 730 Chadema 362
 
chadeeeemaaaa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sisissi sinlisemaaa sissisiss sinlisemaaaaaaa hoyeeeeeee heko chademaaaaa hhahaahahh na rahaa sana nko mjini hapa tumejumlisha kila kitu kiundercover mambo ni bwreeeee bwererereeee

hebu tupe kitu kinachoeleweka mkuu siyo kurusha tu watu roho hapa
 
Mashabiki papa ya Magwanda yamesepa jamvi vimebaki vidagaa tu

Utajashangaa mwenyewe we bwabwaja tu! Utabadili jina mpaka style zote za kupanga herufi ziishe.
 
Simple mathematics....`uchaguzi mkuu kwa nchi nzima matokeo upatikana kwa muda wa siku 3, ni derivation gani inafanya ujachaguzi wa jimbo moja majibu masaa 24?FIKIRI......!
 
cHADEEEEMAAAA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE SISISSI SINLISEMAAA SISSISISS SINLISEMAAAAAAA HOYEEEEEEE HEKO CHADEMAAAAA HHAHAAHAHH NA RAHAA SANA NKO MJINI HAPA TUMEJUMLISHA KILA KITU KIUNDERCOVER MAMBO NI BWREEEEE BWEREREREEEE
Nenda zako huko, tuletee data zilizokamilika si hizi blabla zisizo na uhakika. Mbona nyie watu mpo hivi jamani?
 
Basi wakuu me nalala ila Elimu inatakiwa kwanza vijana wote waliofikisha umri wa kupiga kura inabidi wapewe Elimu ya kutosha kwa sababu wanashangilia tu wakati kwenye zoezi lenyewe wanakaa mbali inatia hasira sana na tunabaki kulaumiana tu!wazee tujiandikishe kupiga kura na siku yenyewe tujitokeze roho yangu inauma sana wale watu wote waliokuwa wanAshalingia chama chetu wako wapi akhaa hebu ifike mahara tuwe na heshima kwenye mambo ya msingi na kampeni vijijini zianze mapema za kuwaelimisha hawa wasiojua magamba hayafaiiiii!nina hasira!
 
Hujawatendea haki kabisa wakazi wa Njombe na Iringa kwa ujumla. Hivi huyo mgombea wa CHADEMA hata angekuwa ng'ombe alipaswa achaguliwe kwa kuwa tu ni wa chadema? Huwezi kujua wananjombe na Iringa kwa ujumla walikuwa wana criteria gani za kumchagua huyo wa CCM. Si ajabu wa chadema ni mnywa gongo tu? Nashabikia mageuzi lakini siungi mkono bora mageuzi, napendelea mageuzi ya ukweli. Kama mgombea wa CHADEMA ni mbovu, bora asichaguliwe maana anaweza kututia aibu na kurudisha nyuma heshima ya chama.

kwa njombe, ludewa, mufindi na makete CCM ikisimamishwa mbwa au kuku anashinda kule tena bila kampeni take it from me.
 
CCM chama cha wazandiki, wachawi tena wanafiki na makada wa ibilis hakuna anaewataka, hata SHETANI hawapend tena!igunga lazma waipoteze,CDM wataichukua vyovyote vle pumbaaaaf xanaa....!
Hakuna anayewataka??
Igunga wanaitaka CCM!
Dr bado kidogo atangazwe mshindi..ni ishu za formalities tu zimebaki.
 
The dream to liberate the country lives and the fight goes on regardless of what happens in Igunga! CHANGE is COMING!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom