palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
habari nilizo zipata hivi sasa, novatus makunga anatafutwa kwa kutoa habari za uongo. hua analala wanapo lala ccm. Akipatikana anakabiliwa na kichapo cha nguvu. Matokeo mengi ya vituo kimoja kimoja yanaonyesha cdm imeshinda. Tusaidiane kuhusu hili.
nimekupata mkuu, inaonekana ametumwa aseme hivyo , otherwise alitakiwa ataje kituo kwa kituo na siyo kata.