Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Mkuu kura kwa jumla ni hizi hapa ila kwa mjibu wa sheria za uchaguzi kura zote zikitoka kwenye kituo zinapelekwa moja kwa moja kwa msimamizi mkuu wa uchaguzi kwa ajili ya majumuiosho yote na siyo kuyapeleka kwenye kata ila hapa mtangazaji kasema kayatoa kwenye kata ambavyo siyo labda hayo ni yale feki mkuu matokeo hadi sasa ni CDM 5435,, CCM 6652
CCM ikishaanza kuongoza kabla giza halijakolea, saa hizi giza limeishakolea, then waneshamaliza kazi rasmi, kesho asubuhi subirini tuu matokeo.
 
Mjimwema (Njombe Mjini) na kata za Gangilonga na Kitanzini (Iringa Mjini) zote zimechukuliwa na CCM

Huko Mjimwema(Njombe mjini) ilijulikana mapema kuwa CCM ingeibuka mshindi kwa akina Sagasaga (viongozi wa CDM) walikalia malumbiano ya kugombania nafasi za uongozi badala ya kueneza sera za chama kwa wananchi kwa ufasaha na kwa muda muhafaka.
 
Namsubiria yule Fisadi aliyesema atakunywa sumu, sijui ameshanunua ile sumu ilie anywe tuchukue jimbo jingine

Yule NDUNYA livingstone lusinde asipokunywa sumu mwenyewe itabidi anyweshwe kwa nguvu ili siku nyingine asitokee ***** mwingine kutoa ahadi za kipuuzi kama hizo!
 
kwakuiba kura nawajua nakimbuka miaka ya 90 babangu aligombea udiwan watu wa usalama wa taifa wakawalazimisha mawakala wakubali kusain kuwa mgombea wao (my dady) kuwa ameshindwa ingawa alishinda,,,,,ndo maana mi huwa nawaangaliaaa halafu nabaki kuwang'ong'a

Ha! Ha! H! Baja, nimecheka pole sana ndugu yangu
 
Mkuu kura kwa jumla ni hizi hapa ila kwa mjibu wa sheria za uchaguzi kura zote zikitoka kwenye kituo zinapelekwa moja kwa moja kwa msimamizi mkuu wa uchaguzi kwa ajili ya majumuiosho yote na siyo kuyapeleka kwenye kata ila hapa mtangazaji kasema kayatoa kwenye kata ambavyo siyo labda hayo ni yale feki mkuu matokeo hadi sasa ni CDM 5435,, CCM 6652
dah! why?
 
Kazi nzuri sana JF.

Haya, ninachokiona hapa matokeo katika vituo kadhaa vya mjini Igunga yanaonyesha CHADEMA inaongoza na hali ni shwari sasa ila viongozi wengi wa CCM wameondoka hapa mjini igunga kila ukupita mitaani sasa ni CHADEMA mwendo mdundo. Mjini ndio kuna wapiga kura wengi hapa Igunga.

CCM wamekimbia mji hoteli waliyofikia vigogo ipo kimya. Kwa sasa nasubiri vituo vya vijijini.

Other updates:

06:00 PM Misururu ya vijana imeonekana mida ya jionijioni, yawezekana idadi ya waliopiga kura ikaongezeka.
 
Mjimwema (Njombe Mjini) na kata za Gangilonga na Kitanzini (Iringa Mjini) zote zimechukuliwa na CCM

Duh...huko nilitarajia CDM ingeshinda kwanza kutokana na upepo wa chama lakini pia kutokana na umakini wa wagombea wao Sambala na Kalolo.
 
Yule NDUNYA livingstone lusinde asipokunywa sumu mwenyewe itabidi anyweshwe kwa nguvu ili siku nyingine asitokee ***** mwingine kutoa ahadi za kipuuzi kama hizo!

Hata kipimo cha imani kwenye biblia ni sumu, ulishasikia nani akijipima? si papa wala pengo seuse maamuma. Unanchekesha!
 
Mjimwema (Njombe Mjini) na kata za Gangilonga na Kitanzini (Iringa Mjini) zote zimechukuliwa na CCM

Mijitu ya njombe ingekuwa amri ilitakiwa wapelekwe sayari ya jupiter,ndio inaleta ukauziba wa maendeleo hapa tz malofa wakubwa sana
 
Wazee kwa mujibu wa chanzo changu makini hali ya CDM ni mbaya, CCM inaweza kushinda kwa kura nyingi sana. Ukiangalia kwa makini sehemu ambayo CDM ilikuwa inapendwa imeshinda kwa tofauti ya kura ndogo zisizozidi 1000! Katika matokeo ambayo ameleta Novatus Makunga yamebadili kabisa mwelekeo wa matokeo. Kwa jinsi chanzo kilivyotema, huko vijijini CCM itashinda kwa kura nyingi, jambo hili litaguwa gumu kulisadiki lakini ndiyo ukweli unazidi kujongea masikio mwetu.
 
Magwanda mbona spidi imepungua? Maumivu ya tumbo na kichwa huanza polepoleeeeeee. Amna cha pipoz pawa wala nini hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom