Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Ngoja niendeleze list kidogo,
Temba watch

Solani & sons

Boisafi

Deo Lekule

Ibra Shayo

Maleko enterprises

Marenga investment

Machare
Mzee maleko alikuwa na mtoto wa kike mzuri sana..utasema kachorwa!
 
Kisinane - shanti town hiyo!
Umenikumbusha Emmanuel Kisinane; alifanya biashara ya ku export kahawa na baadae kufungua kiwanda cha kahawa na bia. Alikwea sana pipa wakati ilikuwa kwenda mamtoni ilikuwa issue, lazima unakwenda kufanya sherehe kijijini na familia nzima na majirani wanakusindikiza airport!
 
Pale njia panda ya Chuo cha Ushirika,CCP na Shanti opposite na Shule ya JK Nyerere?Mimi sizungumzii Mimi nazungumzia njia ya Rau ukitokea YMCA kupitia Keys Hotel na St Mary Goreth
Kama ni ile ya kushoto kama unakwenda Rau ni ilikuwa ya Mwacha aliyekuwa na bakery ya mikate.
Alikuwa na watoto wake walikuwa Ben, livin na wengine majina yamenitoka!

Ben enzi hizo mademu walikiwa namwona kama Brad Pitt wa Moshi!
 
Khambaita alikuwa Mwindi. Alikuwa na Kampuni kubwa ya ujenzi wakati ule. Alijenga barabara na majengo pia. Alitoa mpaka ajira kwa watu kibao.
Na alijenga lile jengo la Kahawa, tanki la maji la chuo cha ushirika na kama sikakosea uwanja wa chuo cha ushirika na baadhi ya bara bara za lami. Hayo yote kwenye miaka 80/90. Huyu tungetakiwa tumwone sasa hivi akiwa kwenye project kubwa...lakini sijui na yeye alikosea wapi!
 
Anaishi Sowote hivi sasa. Yuko vizuri ofcourse kuna miaka nyuma kati aliyumba sana hadi mke akamkimbia. Sasa hivi kampuni yake ya ujenzi iko vizuri sana, pia ana kiwanda cha kutengeneza chokaa. Mtaa anaokaa Soweto wote lami hadi getini.
Huyu kivyake vyake enzi hizo. Halikuwa sio mtu wa kujichanganya kwenye mabaa. Ulevi wake ulikuwa wanawake na anawaganda kama kupe!
 
Uko sahihi, nawashangaa sana wale wanaosema Moshi iko vilevile. Hata sijui wanachomaanisha. Hata mimi nimekuta huge difference. Hilo la machalii kuwa impacted linafahamika, na pia nadhani ni issue ya nchi nzima kwa ujumla, sema uchaggani wanabanwa Zaidi.Tena ukizingatia na huyu mkulu wa sasa anasema wasubiri maendeleo kwasababu eti "walishaendelea"?
Hafadhali hata huyu wa sasa hivi anaonyesha wazi wazi lakini yule aliyepita naye aliwabana sana kisiri siri na bado alikuwa bado anawachekea.
Wakina Mramba, Mgonja, Mengi, CRDB bank...
 
Nope niko kama Nancy sumari ama flaviana matata kimuonekano
Very humble polite and all
Sema mavitabu nilosoma mayb
Halafu mmezoea wanawake au wasichana wengi kama kina wema sepetu au jackline wolper,ubongo makamas
Very primitive way of thinking
Madame umeolewa?
 
Mimi Moshi naifahamu kiasi lakini niliipenda sana.
SAsa hivi ni ipo kimya sana.
Halafu uongozi wa awamu Iliyopita waliimaliza kabisa na huyu ndio kama anapigilia the final nail in the coffin!
Kweli mkuu moshi nyakati hizi imepoa sana, sijui miaka kumi ijayo itakuwaje.
Mi nakumbuka matajiri walikuwa wanawika moshi mjini na vijijini pia. Pia hawa wanaonekana leo huku mikoa mingine walianzia moshi.
 
Back
Top Bottom