Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Ulomi hali yake ya kibiashara ni tete sana sasa hivi.
Mtazamo wangu tutawaona wengi sana biashara zao zikiyumba. Huu ni muendelezo wa mikakati ya awamu iliyopita. Lakini awa wa sasa hivi hawapo patient na wameamua kufanya wazi wazi.

Ulimsikia juzi Cathebert Swai juzi akilia lia. Halafu nilisoma Yule Mama mkubwa hapo Moshi baada ya kufungua kikao akasepa. Hii inaonyesha anajua aliyofanyiwa ni uonevu lakini hana nguvu ya kumfanya chochote.

Week iliyopita Macha naye kanyanganywa Gorofa lake hapa Dar. Mke wa malalamikaji mpaka katoa ushahidi mahakamani against Mume wake . Kadai mumewe alikopa pesa nyingi kwa mlalamikiwa na hatimaye kumuuzia ghorofa Macha. Sijui walitaka ushahidi gani zaidi?!

Wanajua Kaskazini inapata kipato kizuri kwenye utalii. Wameanzisha mkakati wa mbuga nyingine kwao wakiamini itaimaliza Kaskazinj...ni mission impossible.

I’m really confused kwasababu kuna wanayofanya awamu hii ambayo Nina unga mkono lakini wanayofanya dhidi ya Kaskazini sio mazuri!!
 
Municy nadhan amestaafu,anasumbuliwa na sukari sana
Babu wa bialojia mwl Kirama alishafariki amezikwa pale kwake Kombo
Aseee nilpata taarifa asee kirama, sumari wameshafariki. Munisi anasukari kumbe daah
 
Mtazamo wangu tutawaona wengi sana biashara zao zikiyumba. Huu ni muendelezo wa mikakati ya awamu iliyopita. Lakini awa wa sasa hivi hawapo patient na wameamua kufanya wazi wazi.

Ulimsikia juzi Cathebert Swai juzi akilia lia. Halafu nilisoma Yule Mama mkubwa hapo Moshi baada ya kufungua kikao akasepa. Hii inaonyesha anajua aliyofanyiwa ni uonevu lakini hana nguvu ya kumfanya chochote.

Week iliyopita Macha naye kanyanganywa Gorofa lake hapa Dar. Mke wa malalamikaji mpaka katoa ushahidi mahakamani against Mume wake . Kadai mumewe alikopa pesa nyingi kwa mlalamikiwa na hatimaye kumuuzia ghorofa Macha. Sijui walitaka ushahidi gani zaidi?!

Wanajua Kaskazini inapata kipato kizuri kwenye utalii. Wameanzisha mkakati wa mbuga nyingine kwao wakiamini itaimaliza Kaskazinj...ni mission impossible.

I’m really confused kwasababu kuna wanayofanya awamu hii ambayo Nina unga mkono lakini wanayofanya dhidi ya Kaskazini sio mazuri!!
Umeongea kweli cathbert swai mmliki wa ahsante tours wamemchukulia acre 14 kimashuku aliyefanya hivo ni DC wa hai sabaya
 
Kiukweli kwa kipindi hiki hali imekua tete sana kwa wajomba.

Kule Siha RC anajua hata yeye yanayoendelea lkn sababu uwezo wake anajua ulipoishia inabd awe mpole tu,na hivi cuth alimsema pia panone kwny lile Saga lake usikute nae anabatizwa na Moto sasa.

Hapo kwny kuua utalii Kaskazini nadhani wanapoteza Muda tu sababu imechukua zaidi ya miaka 30 na kufanya sekta ya utalii kwa kaskazini kuonekana hivi ilivyo sasa,sijui wao wanategemea itawachukua muda gani kuisimamisha

Inshu ya Masha ilinichanganya kidogo, sababu yule jamaa aliyerudishiwa lile ghorofa anasema yeye alimpa hati Macha ili akakopee CRDB baada ya Macha kumwambia anajuana na Kimei lkn baada ya kumpa hati akashangaa anakuja kuambiwa Ghorofa lile ni la Macha na hati inaonyesha jina la Macha.
 
Siku hizi wakibosho ndio wameinuka kwa kasi sana kwa ukwasi wa kwenda nje kuleta bidhaa.
Wamachame wizi hadi leo ndio kupau mbele chao.
warombo wao wanakimbia na biashara ya baa na nyama choma!
Wakinga ndo kiboko ya Wachaga Kariakoo
 
Nikiwa mitaa ya moshi mjini huwaona vizeee vya kihindi na kichagga vina magari old model hufurahi kuwaona maana miaka yote matajiri wa moshi ni wale wale hukumbuka mbali
Mambo yao kwasasa sio mazuri sana , wanarandaranda mtaani tu , na magari yao ya zamani LEYLAND MASTER OLD MODEL
 
Mtazamo wangu tutawaona wengi sana biashara zao zikiyumba. Huu ni muendelezo wa mikakati ya awamu iliyopita. Lakini awa wa sasa hivi hawapo patient na wameamua kufanya wazi wazi.

Ulimsikia juzi Cathebert Swai juzi akilia lia. Halafu nilisoma Yule Mama mkubwa hapo Moshi baada ya kufungua kikao akasepa. Hii inaonyesha anajua aliyofanyiwa ni uonevu lakini hana nguvu ya kumfanya chochote.

Week iliyopita Macha naye kanyanganywa Gorofa lake hapa Dar. Mke wa malalamikaji mpaka katoa ushahidi mahakamani against Mume wake . Kadai mumewe alikopa pesa nyingi kwa mlalamikiwa na hatimaye kumuuzia ghorofa Macha. Sijui walitaka ushahidi gani zaidi?!

Wanajua Kaskazini inapata kipato kizuri kwenye utalii. Wameanzisha mkakati wa mbuga nyingine kwao wakiamini itaimaliza Kaskazinj...ni mission impossible.

I’m really confused kwasababu kuna wanayofanya awamu hii ambayo Nina unga mkono lakini wanayofanya dhidi ya Kaskazini sio mazuri!!
Endelea kuiunga mkono.
 
Uzuri hivi vyeo vya u-DC/RC etc hua sio vya kudumu(Magesa Mulongo Arusha alikua Mungu mtu ila kwa sasahakuna hata mtu ana habari nae na mikwara yake yote).

Siku utawala ukibadilika Swai anarudisha acre zake 14.

Back
Top Bottom