Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

basi sawa..Bwashee
Hahahah hata ukinimock
Nimeishi huko nimesoma vizuri tu
Na kazi nimepata nzuri tu, Mungu ni mwema
Lamuhimu uwe bwashee ama nani kama zimo utatoboa tu
Maisha ni kupanga
Nimejenga, nina plots kibao huko kwenu na dsm,haohao wananipa michongo mingi huku Dsm,mimi bwashee kwani niliamua kuwafanya rafiki nifikie malengo yangu
Peace and love
 
Hongera kwako..

laiti ungefanya na kuoa huko,ungeenda mbalii zaidi kwa chapaa na plot nchi nzima

*with due respect;Sir.. sijafanya mockering
 
Back
Top Bottom