Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

1545821167745.png
 
Habari za mida wana jf

Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani ukimwona hata mke wake unabaki waooo
Walikuwa hadi na siti zao kristu mfalme pale.waliishi uzungun,wengine njia ya old moshi.

Kuna siku tumeenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tulikuwa tunasomanaye mafundisho kanisan maeneo ya uzunguni kule,huo mjumba looh tulibak mdomo wazi.Na ilikuwa first time naona swimming pool nyumban.

Anyway zama zimepita, wengi wameaga dunia,wengine wapo ila umaarufu sio kama zamani.Nilikuwa natoka familia ya kikapuku kabisa so nilitaman siku moja at least na sisi family yetu iweze kuwa na jina kama family zile ama hata visenti tu.

Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana hapo moshi town,alikuwa na maduka,garages,mabar,mabasi na biashara kibao.Alikuwa anaheshimika kama mfanyabiashara mkubwa moshi.Na wengi tuliamini hivyo.Bwana weeh siku moja katika harakati zake,akapatwa na majanga kwenye mbuga za Kenya, akapigwa risasi akafa,wenzie walifanikiwa kukimbia.Ikaja fahamika mzee alikuwa mwindaji haramu kwenye mbuga ya tsavo,alikuwa anawinda tembo na kuuza pembe na ndio ulikuwa siri ya utajiri wake.

Alirudishwa moshi akaenda zikwa kwao migombani ,after wards Mali zile zikayeyuka kama barafu. Since then nikajifunza kutokutamani cha mtu kwani hujui kakipataje. Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.
Hivi wachaga ni lini mtaacha sifa za kijinga, kitu kdg tu misifa kibao. kwann chaga ht akisoma ushamba hauishi???
 
Ni kweli usiamini kila unachoona au unachoambiwa! Kuna Mzee mmoja Mo town alikuwa tajiri sana enzi hizo nikajagundua kumbe ni mwizi wa magari na nyumbani kwake alikuwa na underground garage inaingiza hata gari tano kwa wakati mmoja!!
Alitaka kumrithisha kijana wake hiyo kazi akachomoa now ni mwajiriwa wa serikili na anamaisha yake safi tu.
 
Uko wapi wewe dada? Ama ulikuwa unakusanya taarifa? Duh! Wewe ni spy?😀
 
Ni kweli usiamini kila unachoona au unachoambiwa! Kuna Mzee mmoja Mo town alikuwa tajiri sana enzi hizo nikajagundua kumbe ni mwizi wa magari na nyumbani kwake alikuwa na underground garage inaingiza hata gari tano kwa wakati mmoja!!
Alitaka kumrithisha kijana wake hiyo kazi akachomoa now ni mwajiriwa wa serikili na anamaisha yake safi tu.
Ni heri kuwa mwizi kuliko kuwa mshirikina na muuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wachaga ni lini mtaacha sifa za kijinga, kitu kdg tu misifa kibao. kwann chaga ht akisoma ushamba hauishi???
hahaha yaan wachaga ni washamba ? Umepanick mkuu, wachaga wame educated kitaambo kabla hata ya Uhuru huduma zooote za kijamii kule zipo kabla ya uhuru umeme,lami,hispitals za kutosha nk ushamba mnao nyie wavivu msiojua ku fight mchaga tz nzma humkosi hadi ughaibuni Pole kwa wivu jifunze kutoka kwetu
Wachaga /Kilimanjaro ni mwalimu wa maendeleo ya tz,chimbuko la maendeleo Ni Kilimanjaro mfano
Ulishaona wapi tz watu wa jimbo moja wakachanga bilion 7 kujenga barabara zote za jimbo kama kule vunjo?
Kwa maelezo zaidi soma hii ripoti
FB_IMG_15020060897734219.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jmushi1 ni kweli kuwa utajiri wa Kidumbuyo ulitokana na fedha alizopora mto karanga kwenye ajali ya basi la Safina?
Naskia kulikuwa na waarabu kwenye ile ajali walikuwa na fedha nyingi sana na Kidumbuyo alikuwa mmoja ya watu wa kwanza kufika baada ya ajali kutokea
 
Back
Top Bottom