Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,360
- 1,501
Nyanga paul Mawalla ndio yeye aliyefariki Kenya juzi kati,
Unamsemea Nyaga au kijana mwingine??
Unamsemea Nyaga au kijana mwingine??
Wahindi wa kambaitta wako wapi?
Nope niko kama Nancy sumari ama flaviana matata kimuonekano
Very humble polite and all
Sema mavitabu nilosoma mayb
Halafu mmezoea wanawake au wasichana wengi kama kina wema sepetu au jackline wolper,ubongo makamas
Very primitive way of thinking
Casmir sidhani kama ni Lawyer.Namjua mmoja ambae jina lake Willy.
Kuna member humu kamtaja as Kasmir
Ndio ninajiuliza bado kuna 2 lawyers kwenye familia ya mawala (usimhesabie Nyaga coz he is no longer here)
Alfred au Alex?
Ulishawahi kupiga hesabu la hii biashara ya mabasi ukaona ina faida?gari inanunuliwa 600ml capacity 50 seat kwenda moshi @30,000 akipakia level seat 1.5 toa mafuta posho ya dereva,konda,ofisi,bima tairi michelin moja ni million plus, sumatra,toch za barabarani etc.hiyo 600ml itarudi lini na apige hela?hii ni biashara kichaa muda wote ambae hajawahifanya hii kazi atabisha ila ukweli ndio huo,unapata jina kubwa tu ila mfukoni emptyHuyu jamaa ni R. Sawaya!! Ana garage yake kitambo sana majengo kama unaenda kwa Mtei pale, enzi hizooo hakuna english medium
Alianza na vicosta vya kwenda Rombo na Marangu enzi hizooo viliitwa Neema!!
Baadae akaadvance akaanza na basi kubwa kutoka mkoa hadi mkoa akabadili jina zikaitwa Sawaya ambalo ni jina lake la ukoo!!
Basi la Sawaya miaka ya 90 lilipata ajali kubwa sana likau watu wengi na kabla ya hapo alikuwa na viajali vidogo vidogo so baada ya hiyo ajali kubwa akabadili jina akaita Kilimanjaro zilikuwa na rangi ya Kijani mgomba na nyuma alipaka kama nyeusi hivi zilitalakaa sana mpaka Mbeya, Singida zilifika!!
Baadae akayauza yote hasa baada ya kupata kashfa ya wizi wa matairi, akaja na mfumo huu wa basi chache mpya na Luxury!! Ambao kwa namna moja au nyingi amepiga bao la hatariii
Papa Alifikia uwanja wa Memorial unaambiwa ulijaa sana watu wakitaka kumuonaKuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
Ulishawahi kupiga hesabu la hii biashara ya mabasi ukaona ina faida?gari inanunuliwa 600ml capacity 50 seat kwenda moshi @30,000 akipakia level seat 1.5 toa mafuta posho ya dereva,konda,ofisi,bima tairi michelin moja ni million plus, sumatra,toch za barabarani etc.hiyo 600ml itarudi lini na apige hela?hii ni biashara kichaa muda wote ambae hajawahifanya hii kazi atabisha ila ukweli ndio huo,unapata jina kubwa tu ila mfukoni empty
NGILOI ULOMI pale kwake alikua na bomba la maji kwa nje watu wanachota bureAliandika maishapopote
Nimegundua watu wa aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.
Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.
Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa
Karibuni
1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam
- Anapendwa Mno
- Anaheshimika Mno
- Amesaidia Vijana wengi Ajira
2.Laswai 🙁Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
Anaishi Moshi na Arusha.
- Anaheshimika Mno
- Multi Trade
3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
- Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
- Keys Hotel and apartments (London)
- Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
- Kilimanjaro Marathon Host and owner
- utitiri wa Vituo vya Mafuta
- Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
- and other Business.
5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.
Update:
6.Sunda: Mining and other Investment
7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks
7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs
8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite
9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)
10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)
11.Pandit: Tanzanite
12.Kanunga;Tanzanite and Mining
13.Mbise: Hotels and Accomodation
14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality
15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality
16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe
17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates
18.Gody : Tanzanite and Gemstone
19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi
20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)
naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.
Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me
Karibuni
Mimi nilikuwa mitaa ya savena bar, pale garage ya fundi deo, rose tuition, kwa Kiliopa kuna jamaa alikua mkorofi anaitwa Mashalah ila alifarikigiMama sekunda mkuu,sasa barabara lile ndo home kabisa
Huyu machare ni yule wa morogoro mjini ama?
Mwenye hoteli ya british na machare hardware
Hahahah wanitafuta ubaya wewe,Madame umeolewa?
Lol nawe wamjua ben?mwehKama ni ile ya kushoto kama unakwenda Rau ni ilikuwa ya Mwacha aliyekuwa na bakery ya mikate.
Alikuwa na watoto wake walikuwa Ben, livin na wengine majina yamenitoka!
Ben enzi hizo mademu walikiwa namwona kama Brad Pitt wa Moshi!
God yupo kariakoo msimbazi amekua kifaru mtotoWe mkali sana God/mawazo,kasirika, Luis Ambrose Hapo jirani mjimpya/miembeni ps du long time Sana
Kabisa mkuu hujakosea alikuwa mkali sana Labre second master wake Munisi daah Mlamaa nikikumbuka wimbo wa shule yaani shule yetu ya Mlamaa kweli ninakupendaa sana. ....... Haha
Umenikumbusha mbali 504 nyekundu. Halafu sijui Volkswagen Golf ndio iliyoshinda.
Mkuu wewe ni kama cyclopedia..ubarikiwe!
Mkuu inaonesha Moshi unaijua sio kidogo,tokea enzi za akina Njiwa hardware
Hahahah wanitafuta ubaya wewe,
Nimefunga ndoa ya boman na nina two boys na advocate wangu


Hivi kwanini Wachaga enzi hizo walipenda kuziita bar zao majina ya Stereo,ukikuta baa imeandikwa sijui sterio jua ya Mchaga,Kinondoni Stereo