The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #221
Hahahah wachaga punguzeni uchawi wa kununua hela zipo tu jameniTunamwitaga Mama Devotion,uyu kule kilema nyumba zake wanaume wanazikimbia kupanga kwake Sana,
Hahahah wachaga punguzeni uchawi wa kununua hela zipo tu jameniTunamwitaga Mama Devotion,uyu kule kilema nyumba zake wanaume wanazikimbia kupanga kwake Sana,
"Mama My devotions"?Mushisa Store
Moshi Drapers
Mama Daruweshi
Halafu kuna mama alikua na guest nying sana mitaa ya Dar city nimemsahau
Dar street hoyeeeMAMA DIVOSION NDIO ANA GUEST NYINGI DAR STREET
Mkuu ulisoma shule gani?"Mama My devotions"?
Hahhahahhah chezea pesa wwHahahah wachaga punguzeni uchawi wa kununua hela zipo tu jameni
Mbona hakuna mahali kuna shida? ebu pinpoint, then elaborate.Mkuu ulisoma shule gani?
Ila punguzeni kufunguka sana
Mtamwaribia max bure
Rafiki yangu na shemej yangu pia
Kweli pesa tamu ila si kwa kuloga na njia halamuHahhahahhah chezea pesa ww
mushisa store wauzaji wa Laizon Ngazi sita! Kindoboys wauzaji wa jinsi za kutoka kenya za magendo enzi hizo.Mushisa Store
Moshi Drapers
Mama Daruweshi
Halafu kuna mama alikua na guest nying sana mitaa ya Dar city nimemsahau
Hamna sema kama naogopa hiviMbona hakuna mahali kuna shida? ebu pinpoint, then elaborate.
Sana mzee hata marangu kule anama white house yake ya kutosha tuNoma mzee kumbe unampata?uyu maza ni kwere
Shemeji yako kiaje umeoa mdogo wake au dadake,Mkuu ulisoma shule gani?
Ila punguzeni kufunguka sana
Mtamwaribia max bure
Rafiki yangu na shemej yangu pia
Nayajua,hv lile gorofa lake linawapangaji kweli siku izi??Sana mzee hata marangu kule anama white house yake ya kutosha tu
Eee mzee la pale devoshen kama tunavyopaitaNayajua,hv lile gorofa lake linawapangaji kweli siku izi??
Mkuu wewe utakuwa mkazi wa majeng - kwa mtei bila shakaKulikua kuna wakina Mfinanga, Mzee TD, Masuki na,wengineo
Hakuwa na maana hiyo. JiongezeUkweli mtupu...
Ngoja niendelee kuridhika na biashara yangu ya kutembeza kahawa mjini....
lucas Tarimo
Vïcent lasway
mawalla
Mberesero
mremi wa dar exp
Bosco Chuwa
Panjwani.
Hari singh
Rajinder
Mchuku wa Mangi.
Daaa uyuu mzee aseee,mzee kibo breweries enzi hizoKisinane - shanti town hiyo!
Hoyeeee....Dar street hoyeee