The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #61
Nope niko kama Nancy sumari ama flaviana matata kimuonekanokumbe mchuchu fighter..![]()
aina ya uandishi wako,imeniingiza chaka Madame.![]()
Najaribu Ku imagine jinsi ulivyo strong woman...sipati picha aidha unafanana na Queen Darleen au Sister Fey ama Zari wa Chibu.?![]()
Very humble polite and all
Sema mavitabu nilosoma mayb
Halafu mmezoea wanawake au wasichana wengi kama kina wema sepetu au jackline wolper,ubongo makamas
Very primitive way of thinking