Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Mimi kuna bro wangu wa kitambo sana,nikiuliza shule eti kamaliza la saba akaenda kenya kufanya biashara,baadae akaungana na wakenya fulani hivi wakaanzisha kiwanda cha kutengeneza vyombo vya ndani,na vya kufanyia kazi,baadae kila mmoja akawa na hotel yake nzuri tu Arusha ambayo hakosi mil.100 kwa mwezi,maanake kuna muda alikuwa akidaiwa kodi ya mil.60 katika hilo jengo,Ila baada ya hapo naona wakaanza kupukutika mmoja baada ya mwingi,bro tushafukia mgombani huko,Bahati nzuri wachaga hawakosei kwenye kujenga nyumbani hata mara moja imebaki jumba lake tu,Sasa nikawa najiuliza huko kenya kuna nini cha ajabu kumbee..
Walikuwa wanafanya kazi halamu, either uwindaj haramu,wizi wa magari au biashara za magendo through taveta
Wamedondoshwa wengi sana kwa style hiyo
 
Acha kabisa nilikariri zote
Plus nyimbo zote
Tatizo nilikuwa napenda michezo sana,naaga nyumbani mapema ila mafundisho lazima nichelewe especially jumapil,basi nimelamba mwanzo mianzi yake hadi nikamchukia
Acha tu,halafu wa maza nao walikuwa wanoko,ukitoka mafundisho jioni unawaongozea sala waone kama umeiva,huwezi vaa suti ya ubarikio kizembe
 
Acha tu,halafu wa maza nao walikuwa wanoko,ukitoka mafundisho jioni unawaongozea sala waone kama umeiva,huwezi vaa suti ya ubarikio kizembe
Moshi ilikuwa tamu jamen
Kama ulaya ndogo vile,maji safi,chemchem,mito inatiririsha maji safi kabisa
Wikend kwenda miton kuogelea na kufua uniform hahahah
 
Huko kwenye siasa kunahitaji kuwa na roho ngumu sana kama jangili,Uende ukapambane na kina Yahaya unaishi wapi(Davis mosha) mbona ni hatari zaidi ya kuwinda pembe za ndovu tsavo
Davis hakuwah ishi mo town
Mie nimezaliwa pale,nimesoma pale primary hadi form 4
Naijua moshi vyema na ni mkaazi mtiifu
Tatizo sina chama tu
Ila nikidhamiria kurud ntajua natumia platform gani kugombea,kama ntaamua lakin
 
Back
Top Bottom