Hizo Toyota Stout ilikuwa shida. Ila kulikuwepo na madon wenyewe kama yule mzee Japhet Lema. Hao walikuwa na matrailor na escorts za ukweli.Enzi za biashara ya kitobo kila mchaga mjini moshi lazima amiliki Toyota Stout kwa ajili ya kubebea mizigo ya magendo
Ndio huyu mwenye mabasi ya kilimanjaro hadi sasa?Huyu jamaa ni R. Sawaya!! Ana garage yake kitambo sana majengo kama unaenda kwa Mtei pale, enzi hizooo hakuna english medium
Alianza na vicosta vya kwenda Rombo na Marangu enzi hizooo viliitwa Neema!!
Baadae akaadvance akaanza na basi kubwa kutoka mkoa hadi mkoa akabadili jina zikaitwa Sawaya ambalo ni jina lake la ukoo!!
Basi la Sawaya miaka ya 90 lilipata ajali kubwa sana likau watu wengi na kabla ya hapo alikuwa na viajali vidogo vidogo so baada ya hiyo ajali kubwa akabadili jina akaita Kilimanjaro zilikuwa na rangi ya Kijani mgomba na nyuma alipaka kama nyeusi hivi zilitalakaa sana mpaka Mbeya, Singida zilifika!!
Baadae akayauza yote hasa baada ya kupata kashfa ya wizi wa matairi, akaja na mfumo huu wa basi chache mpya na Luxury!! Ambao kwa namna moja au nyingi amepiga bao la hatariii
Siyo wote, maneno ya wakosaji. Mbona kuna ambao wanauwa Albinos lakini wapi? Piga uwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Maana ingekuwa hiyo ndo issue, sehemu zenye umaarufu kwa uchawi kama Sumbawanga na huko Shinyanga ndo wangekuwa matajiri wakubwa kabisa.Matajiri wengi wa kichagga siwatilii maanani kwani utajiri wao unapatikana kwa njia za hajabu sana hata nduguze Mshana Jr (wapare) na ni tata mno, bila umwagaji damu na matunguli biashara haifanyiki. Nawapotezea tu.
Tulikua na kazi nao mkuuIla wewe ni mtembezi kutoka tanga mpaka Moshi nimekuvulia kofia
hadi hari singh and sons waijua
Toyota Stout zilikua gari hasa. Sijui kwanini mjapan aliacha kutengeneza zile gariHizo Toyota Stout ilikuwa shida. Ila kulikuwepo na madon wenyewe kama yule mzee Japhet Lema. Hao walikuwa na matrailor na escorts za ukweli.
Huyu kwa mtei kule mtaa wa mraba mwa wasambaaMkuu wewe utakuwa mkazi wa majeng - kwa mtei bila shaka
Siyo wote, maneno ya wakosaji. Mbona kuna ambao wanauwa Albinos lakini wapi? Piga uwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Maana ingekuwa hiyo ndo issue, sehemu zenye umaarufu kwa uchawi kama Sumbawanga na huko Shinyanga ndo wangekuwa matajiri wakubwa kabisa.
Alikua partner na sawaya enzi ya zile kilimanjaro bas za kijaniHivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Kidumbuyo nakiwanda cha mablanketiHawa wote mliowataja ni wa miaka hii tuu. HapoKale walikuepo kina :Kisinani tarimo, Natanaeli Matowo, Paul Kyauka, Aikael Mbowe, Alexanda Itaeli, ,Phillips Sharra Olotu ,Elimonysa Kimei ,Kidumbuyo, Tarawia, A slam Garage.
Pesa ya alishabab yeye na mawalla wa Aratuga ziliwatokea puaniBabu Sambeke alikua habari nyingine asee,tokea enzi za kili mafia namskia he nakua mtu mzima,kiufupi km umeishi Moshi hujamskia uyu mzee basi ww hukua Moshi
?????Ok mmewazoea kina mzigua kutwa story za mapenz?hahahahah
Nimemshangaa kweli kuniweka kwenye mfano wake. Anyway hata nikiongelea mapenzi na yeye akiongelea anachokijua kupanga ni kuchagua.usingetaja jina ingependeza na umekosea sana kumtaja Mzigua90 huyu ananogesha tu jukwaa but yuko njema sana, kuna wapo wachache sana wanafanya vizuri, lakini wale wanaojifanya makungwi wengi wao ni zero brain kwenye ulimwengu wa uchumi, zaidi ya kupanua mapaja ili wapate za kusugulia kucha na kujirusha.
wanatembea na maduka yao..wao wanasema
Nakubaliana na wewe kabisa. Matajiri wengi (>96%) ukwasi wao umepatikana kwa njia zisizo halali.
Nimesema nilijua we ni Me wala hamna sehemu nimesema we ni smart ndo maana nikakufananisha mwandiko wako na mwanaume.Kawaida mbona because am smart
Mie naandika na kupresent maripot daily huku serikalin
So huwez kuta naandika kama kina nanihii
Nimepikwa nikapikika
Halafu mmezoea watu smart ni me tu
So pathetic
Nimeandika vitabu 5 hadi nagraduate
So it's normal
I know kujipresent
Siandikagi sentensi zenye xoxo kama kina f f f f
mimi huwa nakuelewa sana, nafikiri ni wachache mno wanakuelewa kwa kiwango changu.Nimemshangaa kweli kuniweka kwenye mfano wake. Anyway hata nikiongelea mapenzi na yeye akiongelea anachokijua kupanga ni kuchagua.
Nimesema nilijua we ni Me wala hamna sehemu nimesema we ni smart ndo maana nikakufananisha mwandiko wako na mwanaume.
Mbona wanaume kibao huku wanaandika mashudu?
Hapana si huyo,lile ghorofa nilisikia ni la Mkibosho fulani hivi jina limenitoka kidogo alianza Ujenzi baada ya hatua fulani alashindwa kulimalizia so akamtafuta Mwarabu fulani wakaingia nae mkataba kuwa alimalizie then afungue hotel wapeane miaka Mwarabu wa kulitumia baada ya hapo Mkibosho achukue chake.Labda ya yule mzee Mwacha? Yule mzee aliyekuwa na watoto wake kina Ben Mwacha the late.
Hasaa,jamaa ni nguli kweli kweli.Ukiona tajiri wa Moshi wa miaka hiyo amesavive toka miaka ya 80 jua huyo ni vanpaya kwelikweli.