Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

mosh raha sana alaf pia kwenye masuala ya IT nadhan wachaga weng ndio wapo kwnye hiyo platfom Kuna lile gorofa refu linajengwa pale karibu na nmb mandelaa naskia ni la mchaga flan pia
wachaga ni idara zote sio tu IT
ma Prof vyuon wamejaa tele,crdb,wachumi nguli,madaktari bingwa,ma polisi tena wenye vyeo,jeshini maofisa wakubw tele,uhamiaji ndo balaa,magereza usipime,kwenye biashAra ndio haswaa
proudly to be chaga
 
Ila mimi nawaheshimu sana hawa majangili waliofanya ujangili ukawatoa heshima iende kwao,heshima pia iende kwa majambazi sugu yaliyofanya ujambazi kwenye bank kubwa na mwisho yakatoboa,sisapiti ujangili ila na heshimu harakati zao za kutafuta pesa kwa njia yeyote

ila nawalaani wanaowageuza wenzao mandondocha ili wapate utajiri,kuua mama zao,kupewa masharti ya ajabu ajabu sikubaliani nao kabisa,kwani utajiri wao hawa ufaidi kama majangili yaliyotoboa,Mtu ameenda kenya kuiba pembe za tembo wa kenya ili alete mali Tanzania wakati Tanzania wapo huyo sio wa kumbeza hata mara moja hana utofauti na wazungu na waarabu wanaokuja kuchukua mali Afrika na kupeleka kwa heshima ziende kwa hao madon wa aina hiyo,bila kuwasahau wale wote walio rithi mali na kuziendeleza na heshima kwao,waliopata fursa serikalini na wakaitumia fursa hiyo kiuwekezaji na mimi kwangu sawa tu,Heshima kubwa kwa wale wana apollo waliokuja kutoboa
Na wote tuseme aaameni.
 
Mkuu kuna lile ghorofa pale Rau upande wa kushoto mbele ya Chuo Kikuu cha Ushirika ukitokea YMCA ambalo hakuna kiumbe anaeweza kuishi pale,hivi status yake mpaka sasa lipoje maana kuna kipindi nilisikia Mama Anna Mkapa alitaka kulinunua. Hilo ghorofa lilikuwa la Mkibosho fulani hivi.
Nasikia kuna dhuluma ilifanyika ndo maana likawa vile
 
Back
Top Bottom