Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Wazee wa biashara halamu ya gongo njoro,kwamtei ,msaranga,mwereni na malenga wapooo?
Watu wamejenga mijumba na kuanzisha biashara zingine halali kutokana na biashara ya bangi na gongo moshi mjini hapo
Kweli zama zinabadilika sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahah namkumbuka huyo
Mwengine alikuwa mwizi wa magari Kenya afu anakuja yauza bongo,alikuwa na zinga la mjengo pale town,basi wakatofautiana na mkewe ,akaenda mripot police akakamatwa na kula mvua za kutosha,mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine huko Arusha
Nilirudi mwaka juzi mo town nikakuta nyumba imegeuzwa hostel,wanae sasa wameharibika kwan shule waliacha,wanapiga vijiti tu
Sio james oraa huyo?
 
Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
sisi tulimshuhudia pale kristu mfalme na baadae memorial stadium,wakati huo napokea komunio ya kwanza.
 
Nimesema mmezoea wasichana wenye akil mbovu kama kina wema aka makamas
Avumaye baharin papa na wengine wapo
Tuko wanawake kibao smart tulikwenda shule na tunapiga kazi vibaya mno
sasa mbona hujaolewa mpaka leo kama uko smart?....mara nyingi ukiona mtu anajisifia ujue kuna walakini..hasa mwanamke
 
Wazee wa Moshi mnajikumbusha. Yule Alfred Masawe alikuwa wa wapi aliwahi kufungu Hotel moja Dar inaitwa AM Hotel niliwahi kulala siku moja, mapokezi kuna tangazo kubwa pale "Management haitahusika na upotevu wa mali ya mteja, tafadhali kabidhisha mali yako Mapokezi" Ukiweka mzigo tu usiku wanaume hao wanakuja kuuchukua na wanafanya kumkwangua receptionist kidogo, wazambia na Wacongo walilizwa sana pale, kumbe ni mwenye ndio alikuwa anapiga.
Alikuwa anaitwa Alex Masawe
 
Back
Top Bottom