Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
 
Mtindo upi huo Mkuu?
Ilikuwa ukiingia na mzigo mkubwa ili uwauzie wanakuangalia kama ni mjanja mjanja.

Wakiona ni wakuja basi wanakutajia bei ya mbuzi ili usiuze. Hata ukijifanya kuuza kwa bei hiyo ya mbuzi wanachomoa hawanunui tena.

Baada ya hapo ukiingia na mali mtaani jua tuu lazima watu waje wachukue mzigo hata kwa gun point.

Na pia kama umeenda kusafisha mali ya maana basi jua ukishatoka tuu kwenye ofisi zao unawindwa
 
Ilikuwa ukiingia na mzigo mkubwa ili uwauzie wanakuangalia kama ni mjanja mjanja.

Wakiona ni wakuja basi wanakutajia bei ya mbuzi ili usiuze. Hata ukijifanya kuuza kwa bei hiyo ya mbuzi wanachomoa hawanunui tena.

Baada ya hapo ukiingia na mali mtaani jua tuu lazima watu waje wachukue mzigo hata kwa gun point.

Na pia kama umeenda kusafisha mali ya maana basi jua ukishatoka tuu kwenye ofisi zai unawindwa
Hahaha team wapigaji
Get rich or die trying
 
Namjua mmoja ambae jina lake Willy.
Kuna member humu kamtaja as Kasmir
Ndio ninajiuliza bado kuna 2 lawyers kwenye familia ya mawala (usimhesabie Nyaga coz he is no longer here)
Nope siyo nyaga
Halafu tuachanen na story za kina mawalla
Utagusa watu wengi sana kama kina Msando the don, moshi na arusha are like twins ,you can't separate the two hahahaha
 
Halafu wadau mbona hamleti story za mbuguni?wajua utajiri wa moshi una connection;ujangil_tsavo,wizi wa magari Nairobi, biashara ya magendo taveta na rombo,wizi wa madini ya tanzanite mererani aka mbuguni,utoaji wa kafara watoto ama familia nzima kwenye usafirishaji;kumbuka buffalo coach and the like ,wamechinja sana watu barabara ya moshi arusha and moshi to dsm kisa mali
Yaani mimi utajiri wote nauwekea Tiki kasoro wa kuchinja watu tu,
 
Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
Hiyo ya kumuona Bikira maria kwenye vilele vya kilimanjaro niliisikia aise
 
Wazee wetu wanashika dini sanaa,na mila wanazishika saana,hapo wazee ndo wanapotuchanganya
Yes moshi watu walikuwa wanasali sana
Na makandokando kama kawa
Mtu unabaki njiapanda tu,manake wale tulokuwa tunawaona kama masaint wakija umbuka kwenye ujangil ama uchawi,mnabaki kinywa wazi to
Kuna story za mtaa wa malengo
Naomba kama kuna memba anazipata atushirikishe kidogo
 
Back
Top Bottom