Story ya kwamba biashara yake ina ubia au uhusiano na Rizmoko, ilivyoanza, ni kwamba Dr Slaa enzi zile aliibua hiyo issue kuwa kuna vichwa vya Scania(sikumbuki vilikuwa vingapi), ila nadhani mia kadhaa. Dr Slaa alisema kuwa vichwa vile vya Scania ni vya Rizmoko. Sasa wakati watu wanasubiria Riz aende bandarini, badala yake vikatolewa pale na Ngiloi ambaye ndo mwenye hiyo Panone. The rest is history... Kwahiyo watu wakajumlishia kuwa kuibuka kwake kwa ile kasi ni matokeo hayo ya Rizmoko.
Ndo nilivyosikia.