Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Hahaha prof bila hela
Wanafel sanaaa
Watu wanataka hela bana
Uprof huko kwao
Kaskazin hoyeee
Uzi una Tittle, Kagera/Bukoba waongoza Kwa Maprofesa
hata kwenye u prof tumewapiga bao pakubwa,nina list ya maprof Zaidi ya 300 wachaga nimemtajia kidogo tu nitajafungua thread yenye ma prof wachaga jino jino
kagera mkoa wa tatu kwa umaskini hawwez tuzd chochote.
 
Yees,ninao kibao mwaga listi nitiririke
 
hata kwenye u prof tumewapiga bao pakubwa,nina list ya maprof Zaidi ya 300 wachaga nimemtajia kidogo tu nitajafungua thread yenye ma prof wachaga jino jino
kagera mkoa wa tatu kwa umaskini hawwez tuzd chochote.
Fungua Uzi Mpya kabisa
 
Hilo gorofa nalifahamu sana kwa gorofa palikuwa panaitwa kwa Mwacha wakati panajengwa bimkubwa alikuwa anawauzia mafundi msosi so tulikuwa tunaingiamo. Ukienda mbele kidodgo ndio pakiitwa pensheni
Sawa kabisa palikuwa pana garden nzuri sana ila kipindi cha masika maji yanakatiza hapo yanaharibu.
 
Kuna yule jamaa wa pale moshi karibu na stendi anayejenga ghorofa kwa awamu na ana mgahawa mkubwa kwa pembeni ni nani? Na buffalo je? Bila kumsahau huyu mwenye Aquline hotel Arusha,wazee wengi wa kichaga waliupatia utajiri kenya,sikujua kenya kuna siri gani ila ndo naanza kung'amua
Mwenye ile Hotel opposite ma Jengo la TTCL ni Ibra aka Ibra Coach
 
Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
Umenikumbusha Gerad niliendaga kwake nilichezea tasbii za mgongoni sikuwahi kurudi kwake tena
 
Kama umeenda moshi karibuni gari za maimorial zinaanza safari mbuyuni so ile njia inayopanda dar street ndo msikiti uko

Mtaa Unabiashara ya pikipiki sana na spare part za pikipiki

Inshort ni barabara ya kwenda dar street
ni kama dsm street au uswahilini kitu kama hivyo.
 
Back
Top Bottom