last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,749
- 3,995
Kuna wengine wako migombani huko,Akina mariki njiu mwenye kilimanjaro mountain resortKuna shirima wa precision air
Ernest massawe wa akiba commercial bank
Kuna wengine wako migombani huko,Akina mariki njiu mwenye kilimanjaro mountain resortKuna shirima wa precision air
Ernest massawe wa akiba commercial bank
SawaBabuu Sambeke
Hari Singh huyu ndo mwenye ile kampuni ya construction ya Hari Singh & Sons Ltd?lucas Tarimo
Vïcent lasway
mawalla
Mberesero
mremi wa dar exp
Bosco Chuwa
Panjwani.
Hari singh
Rajinder
Mchuku wa Mangi.
Hapana,huyo ni Don mwingine ana Maghorafa mpaka KariakooHivi mkuu,kuringe halls zinauhusiano wowote na Mr.Price???
Huyu nae zile Metro/Msae anahusika?Sawaya.
Huyu nae alkuwa na garage.
Nafikiri kuna kipindi ilikuwa kwenye frem za uwanja wa majengo (huenda lilikuwa ni duka la spares. Sikumbuki vzur)
Alfred au Alex?Wazee wa Moshi mnajikumbusha. Yule Alfred Masawe alikuwa wa wapi aliwahi kufungu Hotel moja Dar inaitwa AM Hotel niliwahi kulala siku moja, mapokezi kuna tangazo kubwa pale "Management haitahusika na upotevu wa mali ya mteja, tafadhali kabidhisha mali yako Mapokezi" Ukiweka mzigo tu usiku wanaume hao wanakuja kuuchukua na wanafanya kumkwangua receptionist kidogo, wazambia na Wacongo walilizwa sana pale, kumbe ni mwenye ndio alikuwa anapiga.
Siku zote najuaga wewe ni Me.Am a woman btw
Halafu wewe nikajua ni Ke.kumbe mchuchu fighter..![]()
aina ya uandishi wako,imeniingiza chaka Madame.![]()
Najaribu Ku imagine jinsi ulivyo strong woman...sipati picha aidha unafanana na Queen Darleen au Sister Fey ama Zari wa Chibu.?![]()
Ila anaepata utajiri wa kuua wanyama naona sawa tu kuliko anaeua binadamu wenzie.
Lakini wanyama kama tembo si huwa kuna watu wanapewa vibali wawawinde? Sasa hao wengine wanawinda bila vibali tu lakini sio kwamba walitakiwa wawaache hao wanyama waishi. Ni sawa na mtu anaeingiza sukari bila kulipa kodiAchana na hisia za ukatili Mzigua.
Kwani wanyama wao hawapendi kuishi? Unadhani na wao huwa hawasikii maumivu hususan wanapouawa kikatili?
Nyama nakula na nazipenda sana ila pia huwa nawaonea huruma wanyama jinsi wanavyouawa.
Naamini kabisa hata wao hupenda kuishi maisha marefu yenye furaha tele.
Sisi binadamu ni makatili sana kiasili.
Lakini wanyama kama tembo si huwa kuna watu wanapewa vibali wawawinde? Sasa hao wengine wanawinda bila vibali tu lakini sio kwamba walitakiwa wawaache hao wanyama waishi. Ni sawa na mtu anaeingiza sukari bila kulipa kodi
NN utasema tuwaache na kuku na ng'ombe sasa waishi. Sisi wabinafsi kweli lakini tutafanyaje sasa ndo utashi tulopewa kula wanyama wenzetu.Hata kama....bado naamini hata hao tembo wanaowindwa nao hupenda waishi maisha marefu!
Sisi binadamu ni wabinafsi sana.
Mtu unaenda kumwinda tembo ili iweje? Ukatishe maisha yake kwa manufaa yako?
Inasikitisha.
SawayaUtajiri wa Mtei kidogo ukiusoma unaweza leta maana,vipi kuhu
Ndesamburo
Kimei
Kimaro
Huyu mwenye Kilimanjaro express
Mremi wa dar ex
Na huyu wa kidia one mzee wa bata
Halafu wewe nikajua ni Ke.

Hahahahaa. Nilikua nawachanganya jinsia zenu bwana.Mzigua ujue unazingua wewe...halafu utanipeperushia njiwa wangu ujue..![]()
Hahahahaa. Nilikua nawachanganya jinsia zenu bwana.
