Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Kombo naskia yupo Mwanza na hamis, king alikuwa polisi Dom kile kizazi Cha mpiraNo hiki ni kile kizazi cha mpira pale majengo kotazi.
Kombo naskia yupo Mwanza na hamis, king alikuwa polisi Dom kile kizazi Cha mpiraNo hiki ni kile kizazi cha mpira pale majengo kotazi.
Juma je yule fundi mkuu wa familia.Kombo naskia yupo Mwanza na hamis, king alikuwa polisi Dom kile kizazi Cha mpira
Motel silver,kwa janni(cheuro koni ice cream na juisi), milans hotel , florida bar, black star hotel, tausi bar,kirikiri bar, Plaza(sinema),uhuru park, first and last, YMCA,leopard hotel,mawenzi bar,kncu hotel(ilikuwa na lift), shah tours...Wakuu kuna bar ya seven up, tausi nazo za zamani kweli tangu niko mdogo nasoma jamhuri
Siku izi zimekuwa za kisasa kweli
Da! kweli wewe mkali mawenzi p/s shule yangu 1995 nilimaliza pale na kina mapambano, mahmod kiumbe yaani ilikuwa raha kipindi hicho Jani pamepambaMotel silver,kwa janni(cheuro koni ice cream na juisi), milans hotel , florida bar, black star hotel, tausi bar,kirikiri bar, Plaza(sinema),uhuru park, first and last, YMCA,leopard hotel,mawenzi bar,kncu hotel(ilikuwa na lift), shah tours...
Nakumbushia tu
Thomas Kidumbuyo.
Mwariko alikuwa na kikundi cha sarakasi ngoma na watembea na magongo... Long time...Yule mgonjwa ni kichwani tu ndo alikuwa anahisia,mwariko alikuwa na kikundi cha kibisa tuawakumbuka akina auga,mama kauvumbi,na wengineo zama hazijirudii wallah.
Umekula barafu za banga?... Vp ngweda na mabungo ya nani yule(jina limenitoka)Da! kweli wewe mkali mawenzi p/s shule yangu 1995 nilimaliza pale na kina mapambano, mahmod kiumbe yaani ilikuwa raha kipindi hicho Jani pamepamba
Ndo sehem pekee ulikuwa unapata mafuta ya alizetiNimemkumbuka mzee Gogo alikuwa na mashine ya kusaga na kukoboa karibu na soko la mbuyuni.
Kuna dada aliitwa mama kauvumbi enzi hizo aliolewa na mluguru mmoja wa kuitwa rama sasa hujulikana kama mama sada.Mwariko alikuwa na kikundi cha sarakasi ngoma na watembea na magongo... Long time...
Ngweda na mabungo ya mzee maikoUmekula barafu za banga?... Vp ngweda na mabungo ya nani yule(jina limenitoka)
Gogo alikuwa na mashine za kukoboa mpunga na kukamua alizeti mtaa wa chini kule jirani na BPNdo sehem pekee ulikuwa unapata mafuta ya alizeti
wew jamaa noma yan toka kinusi hadi moshi???Gogo alikuwa na mashine za kukoboa mpunga na kukamua alizeti mtaa wa chini kule jirani na BP
Bagia za bojo na pipi pamoja na bis kuti za MTEJA mwl nkya akikukuta chocho unakula mboko za hatariUmekula barafu za banga?... Vp ngweda na mabungo ya nani yule(jina limenitoka)
Mi mkaliwew jamaa noma yan toka kinusi hadi moshi???
Mi mkali sanawew jamaa noma yan toka kinusi hadi moshi???
Nlikuwa napatia madem kwa Jani,wakitoka kibosho ama ashira weekends unaenda pale unajipatia,unmpeleke gesti pale VUNJO unakula zako mzigo kiulainiDa! kweli wewe mkali mawenzi p/s shule yangu 1995 nilimaliza pale na kina mapambano, mahmod kiumbe yaani ilikuwa raha kipindi hicho Jani pamepamba
Kinusi ulishawahi kufika mkuu?wew jamaa noma yan toka kinusi hadi moshi???
Bagia za bojo na pipi pamoja na bis kuti za MTEJA mwl nkya akikukuta chocho unakula mboko za hatari
Kaijage simjui mi nilipita pale 89 to 95Hahaha umenikumbusha Nkya, vipi kaijage ulimkuta?