jang
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,415
- 1,189
Hiyo kitambo sana mkuuKaijage simjui mi nilipita pale 89 to 95
Hiyo kitambo sana mkuuKaijage simjui mi nilipita pale 89 to 95
Hiyo kitambo sana mkuu
niliwahi fika maeneo ya majengo Kwa mtei,pale karibu zinapopaki hiece za kwenda mjini,nikasikia kuhusu Mzee TD.Kulikua kuna wakina Mfinanga, Mzee TD, Masuki na,wengineo
Mzee TD alikuwa tajiri enzi hizo na bus zake ziliandikwa FRONT LINEniliwahi fika maeneo ya majengo Kwa mtei,pale karibu zinapopaki hiece za kwenda mjini,nikasikia kuhusu Mzee TD.
ipera?? nimefika hdi galigal,mangaliza lufu na sehem kibao.Kinusi ulishawahi kufika mkuu?
Ndo kwetu kule mi mwenyeji Sana ukanda ule vp nawe home kule?ipera?? nimefika hdi galigal,mangaliza lufu na sehem kibao.
kaijage nilimuacha pale kitu kama 2004 hivi....mwalimu ambaye amedumu kitambo ni nkya asee sitamsahau yule maza yale makofi yake ni shida .....anakubust shavu ya kulia kabla hujakaa sawa anakupa kushoto daaaah nshawahi kuachia ushuzi ghafla bin vuuuu!! akaishia kucheka tuHahaha umenikumbusha Nkya, vipi kaijage ulimkuta?
Yule nkya noma alihamia pale 1991 kitu Kama hicho hakuna aliyefua dafu kwa ukari wakekaijage nilimuacha pale kitu kama 2004 hivi....mwalimu ambaye amedumu kitambo ni nkya asee sitamsahau yule maza yale makofi yake ni shida .....anakubust shavu ya kulia kabla hujakaa sawa anakupa kushoto daaaah nshawahi kuachia ushuzi ghafla bin vuuuu!! akaishia kucheka tu
noma sana yule maza ....nataman sana siku nirudi moshi nikashangae kidogo maana since 2004 sijawahi kanyaga kule na nimepamiss hatariYule nkya noma alihamia pale 1991 kitu Kama hicho hakuna aliyefua dafu kwa ukari wake
Mimi nikiwa hai nitafanya ziara mawenzi ps na old school shule zangu pendwanoma sana yule maza ....nataman sana siku nirudi moshi nikashangae kidogo maana since 2004 sijawahi kanyaga kule na nimepamiss hatari
mie ni moshi yote kwa ujumla...Yale mazingira japokuwa nilikua chalii ila yalinifundisha vingi sana japo nahisi ningeendelea kuishi moshi ningekuja kuwa mtu hatari sana maana hapa kwenyewe Nina akili flani za ajabu hadi huwa najishangaa ila nipo kwenye matibabu ya roho yangu nisije kuishia pabayaMimi nikiwa hai nitafanya ziara mawenzi ps na old school shule zangu pendwa
Kuishi Ms ni akili ni bonge la ujanjamie ni moshi yote kwa ujumla...Yale mazingira japokuwa nilikua chalii ila yalinifundisha vingi sana japo nahisi ningeendelea kuishi moshi ningekuja kuwa mtu hatari sana maana hapa kwenyewe Nina akili flani za ajabu hadi huwa najishangaa ila nipo kwenye matibabu ya roho yangu nisije kuishia pabaya
Nyie jamaa mmefanya nikumbuke moshi, Gogo mbuyuni hiyo tumesaga mahindi sana paleGogo alikuwa na mashine za kukoboa mpunga na kukamua alizeti mtaa wa chini kule jirani na BP
Hamis bado yupo fitiNo hiki ni kile kizazi cha mpira pale majengo kotazi.
Ha ha ha umekoseaWe utakuwa ni somebody (mafeelings)mdogowe mamtei
Kombo sokoni dah nimeskuli mlama kwetu kirima haha
Kabisa mkuu hujakosea alikuwa mkali sana Labre second master wake Munisi daah Mlamaa nikikumbuka wimbo wa shule yaani shule yetu ya Mlamaa kweli ninakupendaa sana. ....... HahaWewe utakua zao la Labre
Mkuu umenikumbusha mbali sana! Pale KDC kuna mzee flani hivi jina kama sikosei ni Macha alikuwa na mawe sana baada ya kufa sijui kawa watoto wake waliindeleza mali ya mzee wao.Hela ndio amezikamatia DSM.
Ila before anapajua sana KDC. Vijana wa zamani wanalifaham eneo hilo kwa upekee wake kwenye jambo fulani.
Baada ya hapo alikuja kuwa dereva wa mke wa mtu mzito serikalini then life ndio likabadilika
Dah! Kweli mkuu huwa naliona tu! Mmiliki ni nani?Oooh!!!lina miti fulani ile ya mikungu???
Mmiliki ni nani mkuu?Yap lile ni ghofu but ndani lina facilities zote na za thamani lakini halali mtu. Kuna kipindi walijaribu kuwafuata Chuo cha Ushirika ili iwe kama Hostel,wanafunzi walipolala hakukulalika kabisa.