Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Bashiri alkuwa na dadake akiitwa Sakina kalio kama lote.Baba yao alikuwa mganga wa kienyeji.Wapi flora mashilingi Dada yao akina jack?
Bashir anaendesha fuso sa hiv,sakina mzigo wa maana

Mamtei unamkumbuka?
 
Sajad, mussa garage, John makelele, John Jeep, jani hotel, madina snacks
 
[QUOTMkuu ninhe iron batterfly, post: 28323247, member: 497860"]James Oraa yupo sema kesi ndio zimemfilisi.my father
Vipi ni mzee wako?sorry kwakuuliza lakin[/QUOTE]m
Ndio mkuu ni father kabisa.[/QUOTE]
mboka au general wewe?
 
Achana na mama mtei
Matei ana kaka anaitwa simon?
Mama yake nadhan alikua anafanya biashara sokoni?
Pemben ya fundi makoroboi?[/QUOTE)Nimemkumbuka ana mdogo wake wa kiume anaitwa mawazo ni kachaa wangu kindakindaki,wana jumba laooo kuuubwaaa.yule dogo mawazo na rafiki yangu sana pika pakua.
 
Islam garage hakuna kitu mule wala Mohamed Sadiq wa Bomambuzi!! Bora umkumbuke Francis Hatco mtoto wa Ngorika aliyekuwa na mabasi ya Hatco nadhani akaacha biashara ya mabasi akafungua hotel ya Zebra pale uswahilini!!
Hatco si ndio wamebadili jina wanaitwa Kimotco
 
Back
Top Bottom