The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #941
Story ya kwamba biashara yake ina ubia au uhusiano na Rizmoko, ilivyoanza, ni kwamba Dr Slaa enzi zile aliibua hiyo issue kuwa kuna vichwa vya Scania(sikumbuki vilikuwa vingapi), ila nadhani mia kadhaa. Dr Slaa alisema kuwa vichwa vile vya Scania ni vya Rizmoko. Sasa wakati watu wanasubiria Riz aende bandarini, badala yake vikatolewa pale na Ngiloi ambaye ndo mwenye hiyo Panone. The rest is history... Kwahiyo watu wakajumlishia kuwa kuibuka kwake kwa ile kasi ni matokeo hayo ya Rizmoko.Sana, ila aliibuka gafla akawashangaza sana watu pale waliokua wanapiga mzigo pamoja kina marehemu frank Lema.
Haahah wabongo kwa uongoWengine husema walianzia kuuza karanga au kuloweka ulezi! Aaah wapi, walikuwa wana yao gizani.
anaitwa SteveMzee Mberesero ana watoto wawili wenye majina ya Francis,maana kama sikosei yule aliekuwa anasimamia Ngorika akafariki mwaka juzi alikuwa anaitwa Francis au sio huyo?
Yupo nikiandika jina lake atanistukia
Nimemsahau kazi zake za wachina sehemu flan
Yuko so humble
Poa poaMkuu hii jina nilikuwa najaribu kuikumbuka nikachemka kabisaa.
Salut kwako
Sawa kabisa mambo ya ajabu yapo,cocomit alikuwa na kakake akiitwa James ni hatari sana na kakake mwingine aliitwa eduu utatu mtukutu.Kweli mkuu.
Na vyoo vya shule ya shaurimoyo (shule ya msingi)
Babu ya mizimu,kirenga mzoefu lafudhi ya wahuni was kimoshi moshi.Na wanasema konda akichukua nauli siku hiyo anajua mzee.
Sijui alifunga cctv???😀😀😀
Siku hizi nyumba zimejaa vumbi kutani na batini,vijana wanaoza kwa gongo iliyochanganywa na maji.watoto was moshi huwaita MVIMBO.nani aliwafundisha wachaga kuacha utajiri was mila na kukimbilia wa kichawi.Vijana wanateketea.Moshi kulikuwa na viwanda ya kutosha.
Kuanzia ngozi, kahawa hadi pamba.
Moshi inahitaji tamthiliya yake mkuu ndefu kama isidingo.Halafu wadau mbona hamleti story za mbuguni?wajua utajiri wa moshi una connection;ujangil_tsavo,wizi wa magari Nairobi, biashara ya magendo taveta na rombo,wizi wa madini ya tanzanite mererani aka mbuguni,utoaji wa kafara watoto ama familia nzima kwenye usafirishaji;kumbuka buffalo coach and the like ,wamechinja sana watu barabara ya moshi arusha and moshi to dsm kisa mali
Kumbuka mamaeliza muuza gongo maarufu,baadae akaitwa mama" Eliza msukule."alikuja fufuliwa na mganga was kuitwa yahaya mbwana.Wazee wa biashara halamu ya gongo njoro,kwamtei ,msaranga,mwereni na malenga wapooo?
Watu wamejenga mijumba na kuanzisha biashara zingine halali kutokana na biashara ya bangi na gongo moshi mjini hapo
Kweli zama zinabadilika sana
Alie fariki anaitwa Stiv ndo alikua kiungo muhim sana katika familia, yeye ndo alikua anaweka mambo sawa panapotokea mtafaruku ndani ya familia.Mzee Mberesero ana watoto wawili wenye majina ya Francis,maana kama sikosei yule aliekuwa anasimamia Ngorika akafariki mwaka juzi alikuwa anaitwa Francis au sio huyo?
Kunakipindi konda aliingia tamaa akachukia Pesa Jamaa akamwambia akazitumbukize chooni mwenyewe.MZEE saivi mambo sio mazuri kivile japo anapambana kimtindo Ila saivi ni mwanamziki kazindua album juzi katiNa wanasema konda akichukua nauli siku hiyo anajua mzee.
Sijui alifunga cctv???😀😀😀
mh yule nae alizidisha ubabe kwenye ile njia,unajua mizimu nayo na miiko mkuu usimuonee mtu.Kunakipindi konda aliingia tamaa akachukia Pesa Jamaa akamwambia akazitumbukize chooni mwenyewe.MZEE saivi mambo sio mazuri kivile japo anapambana kimtindo Ila saivi ni mwanamziki kazindua album juzi kati