Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Huyu jamaa kipindi hicho mshua ana push Peoget 505 yeye alikuwa na Range Rover 4.6 manina walahi ..ila mambo juu ya mstari sasa hivi kakalia Autobiography ...ama kweli riziki mafungu saba .
Huyo mzee alisha tangulia mbele za haki,

Huyu mzee nimemchambulia sana mawe, kipindi hicho nikiwa zuzu ananiachia kazi ya kuchambua dhahabu nikamaliza nakimbizana na watoto wake wa kike kwenye makochi..
 
Hahahah vipi hukuwahi mwibia?
Au ulikuwa unajilipa mabinti zake
Hahaha maisha haya
 
m
Hapana tulikuwa tunaamin katika Mungu na kufanya kazi kwa bidii,kumbe wenzetu wanasali huku wanaweka jitihada binafsi za halamu
likuwa matajiri kwa kuwa mzazi wenu aliweza hata kuwaelekeza umuhimu shule na leo ni familia iliyofanikiwa kuzidi yao kwa yale mlionayo na huwenda huyo tajiri alitamani maisha ya wazazi wako kwa amani alionayo.
 
Anaitwa Anselim Kavishe maarufu Njiwa Hardware,alishafariki kitambo alikuwa mze wa pessa na totooooooosssssss kwa kwenda mbele,ukimkuta Mkulima Baa au Sterio Baa iliyokuwa Opp.Tanesco ni mwendo wa kuku mchemsho kwa saaana na lundo la wapambe.lakini ndo hivyo tena maisha matamu lakini mafupi R.I.P Njiwa.
 
Hahaha njiwa hardware
Ilikuwa nyokooo
Moshi jamen hahahah
 
m

likuwa matajiri kwa kuwa mzazi wenu aliweza hata kuwaelekeza umuhimu shule na leo ni familia iliyofanikiwa kuzidi yao kwa yale mlionayo na huwenda huyo tajiri alitamani maisha ya wazazi wako kwa amani alionayo.
Hahaha ila ungemwibia bana
Ulikuwa zoba
Hahahahah natania bwana
 
Kuna tajir mmoja hapo Mo kilamwisho Wa mwaka alikuwa lazima afanye sherehe kubwa home kwake
Kiingilio chako ni lazima unawe mikono na Maji utakayo yakuta pale getini pamoja na juice usipo fanya hivyo huwez kuingia
Na watu walikuwa wanamiminika balaaa
 
Hahahah huyo
Yalikuwa masharti hayo
Hahaha wachaga kwa kupenda uchawi wa kununua hawajambo
Tulimiminika shauri ya njaa jamen
Hahahah
 
Hahahaha Njaa imesababisha nyota zika bebwa na mjamaa ila mnapenda pilau sana wenyewe mnaita kipusti ndio maana mlikamatika
 
Kuna tajir mmoja hapo Mo kilamwisho Wa mwaka alikuwa lazima afanye sherehe kubwa home kwake
Kiingilio chako ni lazima unawe mikono na Maji utakayo yakuta pale getini pamoja na juice usipo fanya hivyo huwez kuingia
Na watu walikuwa wanamiminika balaaa
Unaizungumzia mtefu wa kdc au? Au Galilaya wa Mwika-lole?maana ndo michezo yao iyoo
 
Back
Top Bottom