Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Mzee kapinga fensi kubwa gril za maana
Tv kipindi hicho kwake mtaa wote wa kumbakumba
Umasikin ule enzi zile watoto wale utaanzaje?
Zetu wakina mage nyuma ya kwenu
Unawajua wale vijana karib na missisip ilipo?
Walikua wanauza maji zaman
Waupe wako wengi wamefanana?
Ali mafiat?machine za kusaga pale kwa rimoy nyuma ya sawaya?
mzee baba Alli mafiati ni rafiki yangu kufa kuzikana Mungu amrehemu.Hao weupe watoto was doctor halafu pia kuna watoto wa mama shakila,asalaam aleikhum mwana.
 
Halafu Mississippi siifahamu IPO wapi long time no see Moshi.sijaenda siku nyingi kuona RAIA kule.
 
Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za karibuni?

Halaf mtaa huo huo kuna mhindi mwingine mwembamba anapenda kutoa meno nje nae toka miaka hiyo anavaa kaptula hadi leo!
vchupa vmeandikwa potelo
 
mzee baba Alli mafiati ni rafiki yangu kufa kuzikana Mungu amrehemu.Hao weupe watoto was doctor halafu pia kuna watoto wa mama shakila,asalaam aleikhum mwana.
Salaam!
Ali alikufa nikiwa moshi likizo tukaenda mzika makaburi ya njoro!
Saibaba mpaka leo sijawah panda tena
Mama Shakila,mama kitenge,mama Daudi,mzee uiso marehemu?anton mpishi,kwa mtei,msofe marehemu?kamishina Malisa?marehemu Ezza aliyefariki lake dulute?
Missisip palikua uwanja wa mpira kabla manispaa hawajahamisha barabara uwanja ukafa?
Wakina Twaha na Hamad,mzee tairo,Deus chawinga?fundi makoroboi unamkumbuka alikua anauza karanga mbele ya nyumba yake?alikua na base ya maana?
Mkora tunajuwana kabisa
 
aliyekufa duluti anaitwa AZZA,YULE FUNDI KOROBOI ANAITWA JIRANI AU MSWAHILI jirani na nyumba ya baba mgonja.hamadi nilimtunga jina mimi nikamwita hamadi kachozi sababu ya kengeza alilonalo,mgambo amosi baba yake Samdo aliwahi kukata mpira wangu na kisu tukicheza pale kwa doctor.Juu ya juhudi baa.mazee pengine weye ni kachaa wangu kabisa.Pale kwa jirani kuna bibi Rekha kwa chini baba henki mashine ya kusaga ya Anthon mpishi,KUSHOTO KWA BABA FALAA.Kwa chinibaba Rashidi MBIGIRIRA,halafu baba REHEMA SUBIRA AYUBU BEKA,Kisha mama John mbawalla wakina dissi god william,nyuma unamkuta mzee mmoja mrangi ALIITWA WAHUWA AU NG'ADU,KUSHOTO MAMA PHILIPO mumewe alikuwa akiendesha malori ya K.N.C.U,HALAFU PALIKUWA NA PHILIPO MWINGINE NYUMBA YA JIRANI MTOTO WA MAMA KIDI.KISHA ROMBO BAR KWA MAMA LYARUUU.YAAP MUTOTO YA KITAA KABISA.
 
Aisee umenikumbusha mbali sana
Wengine majina nilisha wasahau
Samdo anakata tiket stend kawa chapombe,
Duh uliposema hamad kijicho nimecheka sana alikua anarusha mawe mngese yule,
Peter miguu ya bata ana pacha wake paulo,simoni jiran na Azza,wakina kasirika pale jiran na kwa dokta,
Wakina semu baba yao ana taxi pale town,Allen alikatwa mguu baada ya baja 250 kumpa mambo,God jiran na wakina hamad kijicho,mkanyu,peter mgonja,
Tunu na wadogo zake wauza nyama
Mtaa umepauka sana hakuna kima kabisa
Madogo wanapiga viroba na kucheza pool kutwa
Back old days
 
Mkumbuke kidi,msafiri,philipo watu nasikia wamekuwa mvimbo.aliitwa peter miguu bata.
 
Wanakaa pembeni mwa akina hamisi,mkashe jirani kabisa na kwa fundi hussein.
Mzee umenirudisha moshi
Unapita kwa mama kitenge unatokea msikitin
Unarud chini kwa mama daudi, mkanyu

Hivi unamkumbuka M7 muuza chai maarufu?

Macha,yohana,leonard marehemu?
Anton mpishi,vijana wa TD?
 
Hao wote nimecheza nao chandimu watoto wa kisambaa akina olipa pia.Mseven mgogo Fulani ana stories halafu anapika chai na maandazi matamu hatari.Banda lake lilikuwepo kwa akina Ibrahim (butibuti)pembeni na kwa akina mrindoko.those days in kwamtey.
 
Ni lenard@manosa alikuwa golikipa mzuri sana enzi ya chandimu ila alikuja kupata kilema cha ajabu mguuni ana kakake aliitwa philipo na kakao mmoja punguani wa kuitwa sadaka.panafuatia kwa akina shamimu a.k.a nasoko kisha kwa akina zikaa kakake raheli,Hawa ni watoto wa chepe Mzee wa mwika bar.Aaah Moshiiiiii.
 
Wewe mkora kama sura yako imeanza kuja

Hamis vikono(marehemu)shepa,airo,chedi,Deus chawinga,fundi issa barazani mzee wa mashindano ya magari?,

Wakina bashiri ndugu ya chakula?

Sungusia mrangi mweupe alikua ana meno yametokeza nje?
 
Ya yaaa sungusia alikaa nyumba iliyokua pembeni na kwa mama halifa meno Fulani kama amekula matope mtata kinoma halafu nguvu hana.mtaa huo huyo unampata mama shengena kwa akina issa au shotii.Pale kwa mzee john kwa akina kijana.yaap ni mwana wa kukua pamoja.
 
Wale akina hamisi baba yao ni wizard kinoma na muendelezo ule ule wa jamii za kisambaa akina yohana olipa ayubu amini. Sana ushirikina mno.
 
Wewe mkora kama sura yako imeanza kuja

Hamis vikono(marehemu)shepa,airo,chedi,Deus chawinga,fundi issa barazani mzee wa mashindano ya magari?,

Wakina bashiri ndugu ya chakula?

Sungusia mrangi mweupe alikua ana meno yametokeza nje?
Bashiri alkuwa na dadake akiitwa Sakina kalio kama lote.Baba yao alikuwa mganga wa kienyeji.Wapi flora mashilingi Dada yao akina jack?
 
Wale akina hamisi baba yao ni wizard kinoma na muendelezo ule ule wa jamii za kisambaa akina yohana olipa ayubu amini. Sana ushirikina mno.
Najarib kuwaza kizazi chetu nani mwenye utaalam wa JF
Wengi tuliwaacha mtaani kwa sasa pombe zimewazeesha
 
Back
Top Bottom