Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

....kwa kuwa una uelewa mpana na jambo hili, saidia polisi kuibua kilichojificha!!
 
Mkimaliza cha mtikila mchunguze na kifo cha amina chifupa na mtoi yani nyie akili zenu mnawaza leo tu kesho hamjali #ccm out
 
Mzoga wa Marehemu Mtikila utapumzishwa wapi?..R.I.P Mtikila,msalimie Nyerere!!Mwambie CCM is no more na Kingunge ameng'atuka CCM na kadi yake namba 8!!

Jamani hivi nyie binadamu ni watu kweli?

Mkuu wewe ni mTanzania au ni mzungu unaeongea Kiswahili?

Unadiriki kuuita mwili wa mTanzania mwenzako aliefariki hivi punde kuwa ni MZOGA kweli?

Hata kama tunatofautiana kiitikadi na kisiasa lakini ulichokifanya hapa sio uungwana hata kidogo.

Unapaswa kuiomba radhi familia ya marehemu na uwaombe radhi waTanzania wote.

Kujificha kwenye smartphone au screen ya kompyuta yako kusitufanye tupoteze utu wetu.

Very much disappointed in you.
 
'Uko chini ya ulinzi kwa mahojiano na jeshi la polisi'

Yes maana amekua malaya wa kisiasa hadi 2much,ana midomo mirefu kama ya kunguru na nita hakikisha ameacha kutumika kisiasa ovyo kichwa mgando huyu lizabon.
 
kuna msemo unasema"you see what you want to see",means unakiona unachopenda kukiona,na wewe umeleta mada ukiwa na majibu yako yaliyo egemea upande fulani,kueni jamani,mungu hadhihakiwi,tumuombee mchungaji huko aendako,na tusiwe wepesi wa kufanya shiriki kwani humchukiza sana mungu,nakuombea mleta mada ubadilishe mawazo yako ya kishirikina katika hili....R.I.P Mchungaji wangu Mtikila!

Asante ..!
 
kuna msemo unasema"you see what you want to see",means unakiona unachopenda kukiona,na wewe umeleta mada ukiwa na majibu yako yaliyo egemea upande fulani,kueni jamani,mungu hadhihakiwi,tumuombee mchungaji huko aendako,na tusiwe wepesi wa kufanya shiriki kwani humchukiza sana mungu,nakuombea mleta mada ubadilishe mawazo yako ya kishirikina katika hili....R.I.P Mchungaji wangu Mtikila!
Acha kumshuudia mungu kwenye kazi ya shetani, kaa kimia acha kazi ya shetani ibaki ya shetani,
Huyu lowasa kazi nyingi za ki shetani ameusishwa Nazi,

1,sumu mwakyembe,
2,kikwete mwenyewe,
Leo mtikila kwanini wewe lowasa? Majibu ya hivyo eti wananichukia? Kwanini wakuchukie wewe tu,
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho
wacha wee sister Liz bana

Nimejiuliza sana kwa nini wamepiga picha mwili wa Mch. Mtikila pekee eneo la tukio mda huo majeruhi walikuwa wapi? Kwa nini wasingepigwa picha nao? Utata huu.
hapa Kama kweli vile

Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!
mlikuwa kijiwe gani

Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?

Igizo limenoga
 
Ni vyema mgaya ahojiwe vizuri usimtetee kumbuka mgaya alikuwa na marehemu mtikila kwenye gari lake alafu yeye hana jeraha hata moja.

Hana jeraha?? Ina maana zile bandage kule kichwani na damu wamemfunga tu na kuweka Tomato Sauce kama wanavyofanya watu wa maigizo?? Na yule majeruhi mwingine ambaye amelazwa hata kuongea ni tabu na kavimba uso mzima nae anaigiza?? Uliangalia taharifa ya habari au umesimuliwa ama umesikiliza kwenye radio tu??
 
Recently Tanzanian presidential candidate and politician Christopher Mtikila denounce his neighboring country Rwanda as a hostile in what he calls "Hima Tutsi Empire".

It is not a coincidence that Mister Mtikila is killed only few weeks afterhis public announcement, pledging to fight what he calls Hima-Tutsi Empire's domination ambitions.

It was only last year that the top Tutsi leader in the region President Paul Kagame said to Kikwete "I will hit where it hurts", After Kikwete led a campaign that ended Hima-Tutsi Paramilitary (M 23 MOVEMENT) offensive in the region. In politics, there are very few coincidences, and Mr. Mtikila's death on October 4, 2015 is not one ofthem.

He has been assassinated, by the only people in the region who believe in elimination of others as a policy. The Hima-Tutsi Empire. Tanzania is under Attack!

Source : EMPIRE HIMA-TUTSI ATTACK ON TANZANIA: THE DEATH OF MR. CHRISTOPHER MTIKILA | IKAZE IWACU
 
Mkuu Lizaboni hata wewe inabidi tuchunguze uhusiano wako na Marehemu Mtikila, yawezekana alikuwa baba yako, :smokin: mbona kifo cha Mohamed Mtoi hukuhoji leo unajifanya mfatiliaji wa vifo.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Makonda ana tofauti gani na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti?

Polisi waanze kuwahoji hawa watu wanaofahamu kina nani walikuwa kwenye gari ya marehemu..

.....Mungu aepushie mbali mtindo wa matusi kwa vyeo, iwe #HapaKaziTu!! hata uwezo wa akina yakhe sisi, uonekane!!! MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI TZ
 
Asante ..!

Unashukuru nini,? Hakuna mungu wa namna hiyo labda kama anasema mungu wa gwajima,jiulize kikwete amesema sana kuwa ni mgojwa anaanguka ovyo kwenye majukwaa lakini hatukuona MTU wanakufa, lkn eti ukimsema lowasa unakufa,kwa mwenyewe akili timamu lazima maswali mengi yakujie,
 
Mtakuwa ni watu wazima wenye akili ndogo sana zaidi ya mtoto wa chekechea.

Hebu kajambe mbele huko, wewe uliwahi kuzisikia kauli za Mtikila? I repeat MTIKILA ni mzoga usiyostahili kuzikwa na binadamu wenye utu na ubinadamu, labda mashetani wenzake kama wewe.
 
Hapo ndo kuna maswali upite kioo cha mbele na kingine juu baada ya kupinduka vyote viwe sehemu moja. Mie sijasema ni kweli ila kuna haja ya kuhoji jinsi mwili na briefcase vilivyokutana sehemu moja baada ya kila kimoja kutokea njia tofauti. Harafu alipitia kioo cha mbele lakini amelala ubavuni mwa gari? Kama alipitia kioo cha mbele nafikiri gari lingemgonga pia.

Unafikiri kabla ya kupigwa picha hakupewa huduma yeyote ikiwemk kuthibitisha kama amekufa au lah? Katika mazingira ya ajali je hakuna watu walioenda kutoa msaada na je hao hawawez kuwa walihusika kukusanya vitu vilivyozagaa baada ya ajali? Hizo ni assumptions zangu na sio lazima ziwe majibu. Majibu halisi wanayo waliokuwa eneo la tukio so subiri report ndio uanze kuuliza maswali mengine. Ukiu-tune ubongo wako na ukalazimisha kuwa aliuawa utaona kuwa aliuawa, cha msingi u-tune ubongo wako uwe neutral na itakusaidia sana.
 
Hivi hii habari ya msiba haihusiani na Kingunge kuhama ccm ili watu tumuongee kingunge zaidi kuliko kifo cha Mtikila???
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

Peleka ushahidi polisi ili uisadie mahakama kutenda haki zaidi ya hapo utakuwa unafanya ushirikina ambao haunaga evidence
 
Moderatar na wewe umeshiriki kifo cha mtikila ndo maana unabadirisha Uzi humu,pepo wa pili wewe,
 
Swali la kwanza ni la kitoto sana kwamba gari huacha njia kwa panja tu? Eeeh kweli hii ni hatari unashindwa kujua kuna wakati mtu anaweza kuwa spidi kali then yakatokea haya 1. Gari ikamshinda driver 2. Driver akaona maruweruwe barabarani na kutaka kukwepa ukajikuta upo nje na road 3. Unaweza stukia shimo ukiwa karibu unapojaribu kulikwepa tu unajikuta upo mtaroni 4. Driver anaweza akasinzia kidogo tu akajikuta nje ya road. Sasa sijui kama ulishawahi drive gari kwa main road kama ya morogoro road?

mbona nyie mnatetea uovu. hapa tunaongelea uhai. mtu muhim katka jamii kapoteza uhai wakat ambapo alikuwa anahitajika. na watu wanahisi mgombea fulan anahusika. na wanaweka apa mazingira yanayofanya waamni kuwa mkubwa huyo anahusika.
kama na ww ni kibaraka wake weka ushahidi apa kuonyesha mgombea huyo hahusiki. lakin watu wanajua kilichotokea kuwa kilipangwa as mazingira yana utata.
mgombea mkubwa kama yule anapoanza kuhusishwa na vifo vya watu aina ya mtikila inachanganya sana.
weka ushahid wako apa kama unao kumtetea mtu wako.
damu ya mtu haipoteagi kirahisi vile na nyie mnaanza kuleta utetez wa kitoto apa.
 
Back
Top Bottom