Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Sijui ni uvivu wa kufikir au kitu gani. Hoja zinaletwa watu wanazijibu kirahisi rahisi tu. Si ajabu watu leo hii wanamshabikia lowasa kama mtu safi
 
Alfajili ni hatari sana kwa kuendesha gari usingizi, nahisi dereva alisininzia na kuacha njia. Internal bleeding inawezekana na kupasuka ndani
 
Wale abiria wengine wakipona ukawaulize hayo maswali, na uwaombe polisi uwasaidie kufanya upelelezi..!!
 
Sijui ni uvivu wa kufikir au kitu gani. Hoja zinaletwa watu wanazijibu kirahisi rahisi tu. Si ajabu watu leo hii wanamshabikia lowasa kama mtu safi

Hoja zinazoletwa ni za kipumbavu mno!
 
Sijui ni uvivu wa kufikir au kitu gani. Hoja zinaletwa watu wanazijibu kirahisi rahisi tu. Si ajabu watu leo hii wanamshabikia lowasa kama mtu safi
Hoja za Kipumbavu zinajibiwa Kipumbavu, Mtikila hakufunga Mkanda, Abiria aliyekuwa naye garini amethibitisha hilo.
 
Wote wadhanifu ni wajinga.aliyesafir na mtikila ambae ni mchungaji ameelezea yaliyojiri..wa umemsikiliza?
 
1. Kuacha njia na kupinduka kunaweza pia kisababishwa na dereva, km vile kusinzia au wenge lolote lile... Hata km ni asubuhi.

2. Inawezekana ni concussion kwenye kichwa iliyosababisha matatizo kwenye ubongo... Sio lazima uchanike, besides umesema mwenyew gar haijaharibika sana.

3. Hiyo picha ilipigwa baada ya ajali, sio wakat wa ajali ambayo ni saa 11. Hivyo anytime after that pic inaweza ikapigwa.

Ahsante.
Angalizo:
Majib hayo ni other possibilities za speculation(maswali) zako. Naamini sijachafua hali ya hewa.
 
Wewe si mtaalam wa mambo ya ajali,msitake kuwagawa watanzania kwa kila mtu kuja na mawazo ya chama chake,ajali ni ajali Mohamed Mtoi mbona kafa majuzi haukuoji chanzo cha kifo chake Acheni ktmka kwa tamaa za wanadamu mnaleta mada chonganishi kwa wananchi .

Kifo cha Mohamed Mtoi ungehoji wewe kama uliona kuna ulazima. Watu wanahoji kifo cha Mtikila kwasababu kifo chake kina utata!
 
Labda waanze kuchunguza kifo cha Mohhamed Mtoi
 
Layman ndo anatakiwa kujiuliza maswali kama yako mtoa mada, ila Kitaalamu inapo tokea ajali mtu ambae hana jeraha linalo onekana na amelala kimya ndiye anatakiwa kupewa kipaumbele, kuliko mwenye jeraha linaloonekana na anapiga kelele, hakufunga mkanda impact inaweza kusababisa kupasuka kwa internal organ na mtu kupoteza maisha, ila all in all uchunguzi wa kina ufanyike kujua sababu
 
Tumeshudia magari yakibiringita mara kadhaa lkn watu hawafi. na ajali nyingine ukitafakari hupat majibu lkn ndo mtu kesha kufa.

mchungaji siku zake zilifika, ana magar mazur iweje akodi kigari kidogo?
 
kwa wenye jicho la tatu nafikiri mtakubaliana nami kuwa huyu Moringe kama ningekuwa mpelelezi wa hii case ningemjumuisha kwenye list yangu ya mahojiano mapeema.Hiyo post yake jinsi alivyoiandika,ni staili ile ileeee...ya akina Ludo usiku uleee...wenye akili na kumbukumbu mmenipata!tayari ameconclude na kutoa hukumu kwa jambo ambalo linahitaji uchunguzi wa kina tena ametoa mapema mno premature kuwa na info hizo kiasi cha kutoa conclusion,which means anataka kudictate opinion za watu which means anatengeneza njia ya diversion from truth kama info zake ni uongo,which means anataka kubambikia kesi wasiohusika.beware!tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
 
attachment.php


Tusicheze na mambo ya ajali, angalia alipokaa hayati Mtikila seat ya mbele kushoto kwa dereva, hizi imagination jamani tujaribu kusitisha.

Tunatakiwa kila wakati kuwa tayari kupokea mapenzi ya Bwana anapotuita kwake, hakuna binadamu aishiye milele, lazima kila mtu afe na mwili kurudia mavumbi.
Umejuaje Rev. Alikaa Siti ya mbele?
 
Mbona kama milango ya gari imefungwa Kwenye picha zote mbili? Na kwA nini picha ni hizi mbili? Kama hakuvaa mkanda sindio angejiumiza zaidi mbona ametoka mzima bila ya impact of colission ?na kama walitoka sheli muda mfupi inakuwaje dereva apate uchpvu na kudai ghafla loli limekuja karibu kupishana nalo na la mbele limesimama.?
Kwa nini wale wa kwenye loli bovu wasije kutoa msaada mapema sana mpaka kumepambazuka?
 
Sijui ni uvivu wa kufikir au kitu gani. Hoja zinaletwa watu wanazijibu kirahisi rahisi tu. Si ajabu watu leo hii wanamshabikia lowasa kama mtu safi
Mkuu angekuwa mchafu either angekuwa gerezani au angekuwa rumande akiendelea kusikilizia kesi yake mahakamani otherwise ni mtu safi unless uniambie ni mchafu katika kundi la wachafu ccm na serikali yake
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho
 
Back
Top Bottom