2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,083
Leo Nimeota kua nitajikita kujadili barabara za magufuli. kwanza ni nyembamba kulingana na standard gauge, na ndio maana mara nyingi hazichorwi mstari wa njano kama mpaka kwasababu ukichora utagundua kasoro za magari kupishana na usaama wa waenda kwa miguu.,
pili Zimejaa mizani nchi nzima ambazo imekua sourc eya kipato kwa jamhuri.. Mizani hizi hazipo kwenye nchi kama Ukienda Rwanda, kenya, Burundi na nchi a ulaya. Za nini??kwasababu barabara zao zimejengwa kuzingatia Ubora utakao dumu miaka mingi, Mizani hizi zinatozaFaini kwa magari yaliozidi uzito Kuanzia milioni mbili. NAdharia ya mizani imejikita kama njia mbadala wa kudhibiti Uzito wa magari unaharibu barabara hizi zilizojengwa CHINI YA KIWANGO. Sehemu nyingine zina matuta na kona za ajabu. matokeo yake zimekua ndio machinjio ya watanzania wengi. Nuff said.
Tukiachana na ndoto yangu hiyo juu..
By the way: mtikila ana ushahidi gani ambao ni Mkubwa Saaana ambao wakina JK, na hao wenzake hawana.. THINK HUGE. Kiasi kwamba awe adui wa EL??
Nashauri tuache kupiga ramli