Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Tumuache kwa sasa mtikila apumzike kwa amani ccm inanuka na haitasafishika milele!
Maana akili za vijana wa ccm ni koroma!
 
R.I.P Mchungaji mtikila! Kifo chako kiwe chachu ya vita dhidi ya mafisadi tz...!
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!
 
Tumuache kwa sasa mtikila apumzike kwa amani ccm inanuka na haitasafishika milele!
Maana akili za vijana wa ccm ni koroma!
Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?
 
Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?

Hakuna anayekataa kuundwa tume huru, iundwe ili kama kweli Lowassa au Mbowe wameshiriki waahtakiwe na wahukumiwe
 
Mbona itv wameonesha walionusurika kwenye ajali, wamehojiwa wakasema gari lilikua spidi na walikua wagongane na land cruizer uso kwa uso... Dereva kukwepa ndo wakapinduka. Unataka kuiambia nini familia ya mch. Mtikila.?
 
Huyu Makonda ana tofauti gani na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti?

Polisi waanze kuwahoji hawa watu wanaofahamu kina nani walikuwa kwenye gari ya marehemu..
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

kichwa chako kimejaa sisimizi hivi kuna shimo ambapo watu wanakusanya ushahidi dhidi ya lowasa? Mkikila yeye ni nani? Slaa, sitta, mwakyembe jeikei wote wana ushahidi ila hawautowi wameushikilia makwapan.

Sasa na marehem alikuwa nao atimae kafa nao uioini ni ujinga? Mwacheni lowasa hana akili mbovu kama zao kifo cha mtikila muulizeni mungu.ajari ni ajari kwani kamanda mtoi yuko wap? Acha ujinga wewe gamba
 
sio ajabu gari kupinduka na kufa mtu mmoja. ziko ahali nyingi kwa mfano kuna ajali ilitokea watu walikuwa 7alikufa mmoja mmoja alijeruhiwa vibaya hadi ulemavu na wengine walipata michubuko. ingekuwa safari ya kisiasa naamini tungedai ameuawa.

si vibaya uchunguzi ufanyike ila uwe huru na haki
 
Je, nilisikia pia hapa JF member mmoja akiitisha uchunguzi wa kifo cha Mohhamed Mtoi, je hili lilitekelezeka?
 
Swali baada ya ajali na kabla ya kupigwa picha je Mtikila hakupewa huduma yeyote ya kwanza? Hili swali mimi na wewe hatuwezi jibu isipokuwa waliotoa msaada baada ya ajali? Swali jingine, je, Mtikila alikufa punde baada ya ajali au alikufa muda fulani baada ya ajali? Kwanini picha haikupigwa alfajiri baada ya ajali ila asubuhi baada ya kukucha, nini kiliendelea muda huo? Huduma ya kwanza au ni kipi? Mimi nadhani polisi, abiria wenzake na postmortem ndio itakayotoa majibu zaidi ya hapo ni kuendeleza uchawi wa kuongea bila ushahidi
 
KILICHOTOKEA KWENYE HII AJALI

Hilo eneo lina makunyanzi ya kufa mtu barabarani kwa zaidi ya kilometa kadhaa. Ilikuwa ni alfajiri yenye giza na gari lilikuwa mwendo kasi kwa zaidi ya km 120 kwa saa. Ile gari ni saloon ya kawaida 'small size' na suspension system yake ni kwa barabara za Tokyo sio hiyo iliyodidimia kwa 'axe load inbalance' na low quality bedding.

Walikuwa wanapishana na Lorry, Lorry lilikuwa likiyumbishwa na hayo makunyanzi, dereva hakuona vizuri kwa kuwa Lorry lilikuwa limewasha full light. Na dereva wa ki saloon hakutumia tahadhari ya kupunguza mwendo akaja hivyo hivyo na spidi zake. Kashaambiwa tunawahi ibada na lazima tufike saa by saa mbili jeshi la wokovu.

Aliposhtukia Lorry hili hapa linahama 'lane' kwa kuyumbishwa na hayo makunyanzi ya barabarani akajaribu kukata kushoto ili kukwepa, tairi za kushoto zikapanda kunyanzi mstari( gema) gari ikaserereka na ikatoka mshazari hadi nje na kupinduka.
Dereva wa Lorry kaendelea na safari zake na hata hajui nini kimetokea nyuma yake japo vishindo vingeweza kumshtua.

Kufa ajalini kuna mengi, zile pilika pilika za kupinduka kuna mshtuko, majeraha, umri, mambo ya ufahamu hasa kama ulikuwa usingizini na 'mind' yako ilihama, kuna maamuzi ya Mola n.k, n.k

Onyo;

Hizo ni hisia zangu tu.
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Peleka hii kwenye vyombo vinavyohusika vya Usalama,usilete Siasa .wewe unaleta Siasa ,jinsi gani unavyowatusi wafiwa.
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

Kwani amekufa na ushahidi wake? Lile briefcase si lipo mikononi mwa polisi? Kama ushahidi upo huyo Lowassa na wenzake wapelekwe mahakamani ili wananchi tuone haki imetendeka, ila swali jingine after 8 years leo ndio ushahidi umepatikana? Kama upo uende mahakamani haraka na wafungwe ikibidi
 
Tumuache kwa sasa mtikila apumzike kwa amani ccm inanuka na haitasafishika milele!
Maana akili za vijana wa ccm ni koroma!
Nikweli Mtikila apumzike lakini hatuwezi watu huwezi ukawaziba midomo kusema kama kunautata usitetee uovu.
 
Back
Top Bottom