Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!
Unapapasa. Which is which?
 
Sounds interesting.. Kagame..Lowassa....Jean Bosco in Mtikala's residence.... Patrick Mgaya .. his Phone call explaining the accident with many victims..is buzzing!!

Akina Lowasa wasihusishwe kinachotakiwa kufanywa ni kuwahoji vizuri mgaya na dereva wa Gari hao ndio wanajua Ukweli wote .
 
Kama ni kweli hakufungaa mkanda yaweza kua sababu tosha yeye peke yake kufariki..

Tujue umuhimu wa mkanda wa gari ukiwa safarini.
 
NACHELEA KUSEMA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA AMEUAWA.

Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea kusema huyu Mzee ameuawa na kwa maslahi ya kisiasa na mmoja wa Wagombea.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila. Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa ndg Edward Lowassa.

Taarifa za siri zinasema kuwa Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.

Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani alimpiga picha Marehemu Mtikila?
Je, Patrick Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini liharibike eneo la mbele pekee?

Je Ni chombo gani kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa marehemu alisema wamepata ajali na kwamba kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa marehemu pale Mikocheni.
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Vipi Lizabon unataka huruma ya kusaidia timu y7ako kupitia kifo cha Mchungaji Mtikila? hapa kura tu Kazi baadae
 
Akina Lowasa wasihusishwe kinachotakiwa kufanywa ni kuwahoji vizuri mgaya na dereva wa Gari hao ndio wanajua Ukweli wote .
..
Tuache upelelezi uchukue mkondo wake maana hatuwezi kuweka mipaka..sheria inakata pande zote na yeyote aliyehusika moja kwa moja au kiaina ahojiwe bila kujali jina cheo au hadhi yake kisiasa na jamii!! Awe UKAWA CCM.. Magufuli au Lowassaa
 
Watu humu ndani wapuuzi sana, kama huyu #Lizaboni , very pumbavuuu...!!"

ULISIKIA ITV saa 2 ucku jinsi KIFO cha Mtikila kilivyotokea...? Maana unaongea ukuda tu hapa...shit..!!

Unajua walikuwa wana overtake, ghafla Lorry, uso kwa uso na Corolla yao... na dereva alikuwa speed, ndio dereva akaamua kulitoa nje ya barabara... Marehemu hakuwa kafunga mkanda...!!

Na Majeruhi mmoja ndio alikuwa anaelezea... live, na Lorry ndio lilikuwa liwamalize kabisa, dereva akajitahidi akalitoa gari nje ya bara bara...

Kwa wanaojua overtaking, lazima uwe speed, it seems dereva wa Corolla hakuwa na view ya mbele before overtaking...

Sasa, huyu # Lizaboni kazi yake kuleta upuuzi hapa...!!!

Sbb JF ni ya CCM, basi tena, JF imeacha upuuzi unaandikwa tu huku kuhusu UKAWA etc...!!!
 
Swali baada ya ajali na kabla ya kupigwa picha je Mtikila hakupewa huduma yeyote ya kwanza? Hili swali mimi na wewe hatuwezi jibu isipokuwa waliotoa msaada baada ya ajali? Swali jingine, je, Mtikila alikufa punde baada ya ajali au alikufa muda fulani baada ya ajali? Kwanini picha haikupigwa alfajiri baada ya ajali ila asubuhi baada ya kukucha, nini kiliendelea muda huo? Huduma ya kwanza au ni kipi? Mimi nadhani polisi, abiria wenzake na postmortem ndio itakayotoa majibu zaidi ya hapo ni kuendeleza uchawi wa kuongea bila ushahidi

Mbona unaandika vitu kama mtoto wa form two. Hivi MTU akipata Ajari kitu cha kwanza nikupigwa picha au kutoa huduma ya kwanza. We kwa akili yako unafikilia kila MTU anayeenda kwenye Ajari lazima awe na simu. Toa facts acha utoto.
 
Hapo kwa kweli patrick mgaya kafanya unyama haihitajiki FBI wala Scotland yard kupata Ukweli. Huyo mgaya akibanwa ataanika Ukweli wote A-Z

Una uhakika kuwa Mgayq ndio kafanya unyama? Una ushahidi au ndio ushirikina unakuongoza? Tujifunze kuongea with fact laa sema kuwa hauna uhakika.
 
Hakuna haja ya kukihusisha kifo cha mtikila na wanasiasa kwani mtikila alikuwa na bifu na watu wengi sana kutokana na kuwa mtetezi wa walala hoi wengi, kesi nyingi za viwanja alikuwa kazitatua pia wajane waliokuwa wamedhurumiwa wengi aliwaokoa na kupata haki zao huku akiwa na kesi na wahindi wengi aliowaita magabacholi hivyo wale wote aliowasaidia wakapata haki zao walimtengenezea maadui wa kutosha na kama ni hujuma inaweza ikawa imetokea upande huo.
 
Mleta hoja itakua ndio mhusika no 1 mana anawajua wa2 wote waliokua n marehemu....hivi ukiwa ccm ndio unakua zezeta kazi kurupoka tu kila cku....nenda ukapimwe lazma unachango la uzazi wewe

Kama Kuna Genge Hatari nchi Hii Ni Hawa Vijana wa ccm Ambao Mzee Kingunge, Amewaita Mavuvuzela Walio Kodiwa Kuchafua Watu Na chama.

Hembu Tusilete Siasa Kwenye Vifo Vya Watu Kwa lengo la Kujijenga Au Kutafuta Uruma Kwa Wananchi.

Hasa wewe Lizaboni Umekuwa Mchochezi sana, mdogo wangu hembu busara ikuongoze, taifa hili ni letu sote, usilete chuki zako hapa kisa lowassa anatafuta urais imekuwa nongwa?

Kwani nchi hii niya ccm peke yake? Tafadhalini sana ndugu zanguni nchi hii ilijengwa na Baba wataifa hili na itabomolewa na ninyiwenyewe kwa midomo yenu.

Pambaneni na lowassa kwa hoja majukwaani na sio kuleta propaganda kwenye misiba ya watu. Watanzania wa sasa wana hakili sana ya kupembua pumba na mchele. Chungeni ndimi zenu na walio watuma.
 
Mbona itv wameonesha walionusurika kwenye ajali, wamehojiwa wakasema gari lilikua spidi na walikua wagongane na land cruizer uso kwa uso... Dereva kukwepa ndo wakapinduka. Unataka kuiambia nini familia ya mch. Mtikila.?

ITV dodoki LA kasikazini?
 
Una uhakika kuwa Mgayq ndio kafanya unyama? Una ushahidi au ndio ushirikina unakuongoza? Tujifunze kuongea with fact laa sema kuwa hauna uhakika.

Ni vyema mgaya ahojiwe vizuri usimtetee kumbuka mgaya alikuwa na marehemu mtikila kwenye gari lake alafu yeye hana jeraha hata moja.
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Ndio Maana nchi hii haitaendelea pamoja na MALI zote hizi kama bado tuko nyuma kimaendeleo...?
 
Ningekuwa rais Mimi au mungu nigetenda miujiza na dunia ingejua,lowasa nibshetani ambalo LIKO tayari kufanya chochote ili kwenda ikulu,mungu yupo?
 
Harafu kuna kitu kinashangaza ila hamjakisitukia.
Inakuwa ile briefcase nayo imepaa ikavingika ikatoka ndani ya gari ikaenda kutua sehemu alipo lala Mtikila.
Kulingana na kanuni za physics hii ni ngumu kutokea kutokana na mass, state of inertia, centre of gravity na acceration ya vitu hivi ni tofauti.

Picha inayoonekana kwenye mtandao inaonyesha briefcase imetupwa pembeni kwa mwili wa maehemu ili ni la kuhoji pia.

Acha uongo wewe hizo laws za physics hazihusiki hapo, briefcase lilianguka baada ya gari kupinduka juu chini au lilidondoka na mtikila toka kwenye kioo cha mbele
 
Du kaka hii Iko deep sana. Je na wewe habari zote hizi umezipata wapi maana umeandika kwa uhakika sana, Mimi naona na wewe pia ungeijiwa
 
Mkuu, kwa kadri muda unavyoenda, watu wanazidi kujiuliza maswali. Hakika ni jambo baya sana limetokea

Sikia dogo,
Ndugu zetu maelfu wameteketea kwa ajali za magari kutokana na ubovu na uduni wa barabara zetu lakini hatujawahi sikia serikali ikiunda tume huru kuchunguza ubovu huu wa barabara ambao chanzo chake ni ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM.
 
Ni vyema mgaya ahojiwe vizuri usimtetee kumbuka mgaya alikuwa na marehemu mtikila kwenye gari lake alafu yeye hana jeraha hata moja.

Mkuu nilishawai kusema kama kuna pepo linasumbua taifa hili kwa sasa ni lowasa,hili ndo shetani zaidi ya rusifeli, wizi yeye, sumu watu yeye,mtikila yeye,kisa ikulu kuna nini?
 
Back
Top Bottom