Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Inavyoonekana upande fulani wa siasa unataka kutembelea juu ya ajali hii kuwabeza wenzao, tuwe na tabia ya kufuata facts na sio ushirikina. Mara ooh fulani anahusika, oooh, mbona wenzake hawajafa, mara mbona mbona huyu aliyepona anamsupport fulani wa chama kingine, kwa siasa ni uadui? Kwamba ukimsupport fulani ndio msifanye kazi pamoja na mtu wa upande mwingine? Ccm acheni utumwa wa fikra, utafikiri Mtikila ndio wa kwanza kupata ajali? Na mbona zingine hamuhoji? Subirini taarifa ya uchunguzi wa polisi na postmortem report then kama kuna mtu kahusika apelekwe mahakamani, now if you don't have evidence SHUT UP AND KEEP QUIET
 
kichwa chako kimejaa sisimizi hivi kuna shimo ambapo watu wanakusanya ushahidi dhidi ya lowasa? Mkikila yeye ni nani? Slaa, sitta, mwakyembe jeikei wote wana ushahidi ila hawautowi wameushikilia makwapan.

Sasa na marehem alikuwa nao atimae kafa nao uioini ni ujinga? Mwacheni lowasa hana akili mbovu kama zao kifo cha mtikila muulizeni mungu.ajari ni ajari kwani kamanda mtoi yuko wap? Acha ujinga wewe gamba

Teh teh teh rudi chekechea dada unatia aibu!
 
Yaani watu wengine ni ovyo sana. Mnaanza kukusanya theories za kijinga kama zile za kifo cha Chacha Wangwe?
 
Mbona itv wameonesha walionusurika kwenye ajali, wamehojiwa wakasema gari lilikua spidi na walikua wagongane na land cruizer uso kwa uso... Dereva kukwepa ndo wakapinduka. Unataka kuiambia nini familia ya mch. Mtikila.?

baada ya hapo hiyo land cruiser iliishia wapi nawe jiulize
 
CCM Mtambueee kuwa Mungu hadhihakiwi

Kazi yake haina makosa
 
Hakika Mkuu. Ni aibu kwa Mgombea Urais kuwa implicated kwenye matukio ya mauaji

Hata kama ni jitihada za kujaza idadi ya posti haiwezi kuwa kwa kiwango cha upuuzi wa aina hii. Kila unayetamani awe kahusika na mauaji automatically anakuwa implicated? Upuuzi wa hali ya juu. Kuwa na ubunifu walau kidogo. Tsk!
 
Inavyoonekana upande fulani wa siasa unataka kutembelea juu ya ajali hii kuwabeza wenzao, tuwe na tabia ya kufuata facts na sio ushirikina. Mara ooh fulani anahusika, oooh, mbona wenzake hawajafa, mara mbona mbona huyu aliyepona anamsupport fulani wa chama kingine, kwa siasa ni uadui? Kwamba ukimsupport fulani ndio msifanye kazi pamoja na mtu wa upande mwingine? Ccm acheni utumwa wa fikra, utafikiri Mtikila ndio wa kwanza kupata ajali? Na mbona zingine hamuhoji? Subirini taarifa ya uchunguzi wa polisi na postmortem report then kama kuna mtu kahusika apelekwe mahakamani, now if you don't have evidence SHUT UP AND KEEP QUIET
CCM ndio zao

Mtoi walihoji?
 
CCM mtueleze walioua hawa wapendwa wetu.
1.Edward Sokoine
2.Horace Kolimba
3.daud Ballali
4.stan Katabalo
5.Daud Mwangosi
6.Omary Ally Juma
7.MGIMWA

Sio mnakaa na kupayuka payuka tuu.

8. Jwani Mwaikusa
9. Segondo Mvungi
10. Nyaga Mawalla
11.---------
 
Nimejiuliza sana kwa nini wamepiga picha mwili wa Mch. Mtikila pekee eneo la tukio mda huo majeruhi walikuwa wapi? Kwa nini wasingepigwa picha nao? Utata huu.
Mchungaji alikuwa na kiherehere ndio maanakashobokewa yeye
 
Ati alikuwa tishio kwa ROSTAM AZIZ aliyempa million 10 na akamsainisha petty cash voucher!! maajabu haya.
kwalipi alilokuwa nalo?mtikila kila mtu alikuwa anaonekana kama comedian fulani.
 
Mkuu, kwa kadri muda unavyoenda, watu wanazidi kujiuliza maswali. Hakika ni jambo baya sana limetokea

Watanzania mmelogwa! Hii wala sio maada ya kupoteza muda wenu. Tuliobaki tusubilie vifo vyetu wala hatujui vitakuja kwa namna gani. R.I.P Mchungaji Mtikala, hiyo ni safari ya wote na kila mmoja atatoka kwa njia na utaratibu wake aliowekewa na Mungu.
 
Huu mzoga wa MTIKILA ni wakuutupa tu mto Kagera ili uwe chakula cha mamba, huyu kenge hastahili mazishi.

Jiheshimu! Ushabiki wa kisiasa usikufanye ukajiona umemaliza! Kumbuka sisi sote ni marehemu watarajiwa!
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Hapo kwa kweli patrick mgaya kafanya unyama haihitajiki FBI wala Scotland yard kupata Ukweli. Huyo mgaya akibanwa ataanika Ukweli wote A-Z
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

Hili nalo neno
 
Back
Top Bottom