Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?
Jatibu kujiweka tofauti na vijana wenzako wa ccm maana mawazo yao yote ni uwozo akuna mwenye akili timamu!!
Gari lenyewe la kukodisha linaonekana bovu kabisa kwa vyovyote vile lile gari lilishapata ajali nyingi sana au lilisha gogwa mara nyingi sana!!
 
Huyu Makonda ana tofauti gani na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti?

Polisi waanze kuwahoji hawa watu wanaofahamu kina nani walikuwa kwenye gari ya marehemu..

Bukanga , Mkuu wa Wilaya ya Serengeti na Makonda wanahusikaje? kwenye ajali?
 
MUNGU hapendi dhihaka....mungu ndiye mwenye kutujalia pumzi na afya za miili yetu. ...UNAMDHIHAKI MUNGU KWA KUMCHUKUA KIUMBE WAKE ALIYEDHIHAKI AFYA ZA WANA WA MUNGU
RIP MTIKILA
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

'Uko chini ya ulinzi kwa mahojiano na jeshi la polisi'
 
yote anaachiwa MUNGU kwani kifo ni kifo tu ilikuwa siku yake aijalishi alikuwa nani alitaka kufanya nini ikifika ndo imefika tukumbuke kila nafsi itaonja mautu sasa uwezi sema kitu kama ujui iyo nadhani si nzuri. cha msingi sisi tuliobaki tumuombe MUNGU uchaguzi upite salama wakupata wapate na wakukosa wakubari matokeo amani ndio kitu cha msingi kwa TZ.
 
watanzania tumekosa busara kabisa hata mapro-CCM Wenye busara na ushawishi sizani kama wanaweza kufraishwa na propaganda kama hii. Unazani unampigia magufuli kampeni lakin kiukweli una mwaribia. kuna njia za kufanya propaganda lakin sio hii
 
Mzoga wa Marehemu Mtikila utapumzishwa wapi?..R.I.P Mtikila,msalimie Nyerere!!Mwambie CCM is no more na Kingunge ameng'atuka CCM na kadi yake namba 8!!
NYEUSI NI NYEUSI.....huwezi kuiita nyeusi kuwa ni rangi isiyo nyeupe...iite nyeusi
u r appreciated
 
Lizabon Fasa propaganda lakini sio kwenye vifo vya watu.....

Kamba iliyopo kichwan ni tai na wamemfunga ili mwili usianze kuvuja damu. na kusaidia urahisi wa kufunga mdomo.

maana sio busara kumwacha marehemu akiwa mdomo wazi.

Pili marehemu hakufunga mkanda, TBC wamesema marehemu alitokea kwenye kiocha mbele akarushwa chini.

Kweli tumefika pabaya yaani sasa tunampangia Allah kuwa wanasiasa hawapaswi kutimiza wajibu wako wa kimaumbile kipindi cha uchaguzi?
 
ukisoma kwa haraka na kwa kukurupushwa na mkumbo na chuki unaeza sema huyu mleta uzi huu anaongea kwa kumaanisha kuumia na kifo.lkn ukisoma kwa utulivu utajua jamaa analenga nini na yupo kiuchochezi sana ama ni mchumia tumbo anaejua anachofanya.huu uharaka ww kupata yote asemayo unaonesha ni kazi yake kutumika kuibua shutuma.na.majungu ya kumchafua mtu.km unatunza gamilia kwa kazi hii ni aibu kwa familia yako.
hivi ushahidi gani alonao mtikila ambao hakuna mtu mwingine alonao na km ni yy tu anao basi ni wa kupikwa na yy ndo maana anao yy tu.
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho
Hivi huyo mtikila alikuwa tishio kwa nani mpaka auwawe?
 
kweli raia wa kibongo smartphone zinawazingua,bila haya mtu anahoji eti kwanini marehem alipigwa picha asubuh badala ya muda aliokufa kweli? we baada ya kutokea ajari huwa unawaza kupiga picha tu si ndio!pumbavu ww subir tutakupiga ww unavyokata roho!
 
Jamani keshakufa tayari ajuae ukweli ni Mungu peke yake, sisi titaendelea kutoa mawazo yetu ambayo sio sahihi na kujikuta twajichanganya wenyewe...
Mungu halali, anajua kila kitu kinachotokea na ana maana yake...
Pia
Mwisho wa yote Binadamu kufa sio ajabu
 
Dr. SLAA kuwa makini sana.. Kuna watu wanafanya kila njia wabaki madarakani..

Kuna watu watafanya kila jambo linalowezekana wapate propaganda za kuongelea kwenye majukwaa.. Kuwa makini sana Dr. SLAA yasije kukukuta mabaya ili wasingiziwe wengine.. Kama hiki kifo cha ajali ambacho mashuhuda wamekiri ila bado wanataka kukipindisha na kupika propaganda sijui wewe ukilishwa sumu au kukutwa umejifia kwenye chumba cha Hotel unayoishi watasemaje.. Dr. SLAA kuwa makini sana, tena sana, zile Billion 150 zinakaribia kukata pasipo matokeo chanya, kuwa makini mno..
 
Hata ukiandika posts 10 juu ya Mchungaji Mtikla hutabadirisha ukweli kuwa HE IS DEAD and the dead don't count
 
Nina hofu hata mamako akikosana na babako utasingizia lowasa ndo kasababisha, kama unajua chanzo cha kifo cha mtikila peleka polisi na kama mlipanga hilo tukio wenyewe ili kutafta kick imekula kwenu hatudanganyiki.

Naam! Ndio maana nikasema kama polisi hawataanza na huyu Lizaboni nitasikitika sana!
 
Wana JF,
kwa mujibu wa maelezo ya Lizaboni hamuoni kama kuna upishi unapikwa ili mgomea wa ukawa abambikizwe kesi ya mauwaji? kwa hamuoni hii picha? .... hapa victim ninaemouna ni Mtikila mwenyewe na Lowasa. CCM wana hali mbaya na kuuwa mtu ili yao yawe sio shida!! mkizingatia Lizaboni ni miongoni mwa wapishi wakuu!!! Lets see the end of this movie again!!
 
CCM mtueleze walioua hawa wapendwa wetu.
1.Edward Sokoine
2.Horace Kolimba
3.daud Ballali
4.stan Katabalo
5.Daud Mwangosi
6.Omary Ally Juma
7.MGIMWA

Sio mnakaa na kupayuka payuka tuu.
 
Back
Top Bottom