Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Swali baada ya ajali na kabla ya kupigwa picha je Mtikila hakupewa huduma yeyote ya kwanza? Hili swali mimi na wewe hatuwezi jibu isipokuwa waliotoa msaada baada ya ajali? Swali jingine, je, Mtikila alikufa punde baada ya ajali au alikufa muda fulani baada ya ajali? Kwanini picha haikupigwa alfajiri baada ya ajali ila asubuhi baada ya kukucha, nini kiliendelea muda huo? Huduma ya kwanza au ni kipi? Mimi nadhani polisi, abiria wenzake na postmortem ndio itakayotoa majibu zaidi ya hapo ni kuendeleza uchawi wa kuongea bila ushahidi
Mkuu, kwa kadri muda unavyoenda, watu wanazidi kujiuliza maswali. Hakika ni jambo baya sana limetokea
 
Hakuna msiba wa washirikina unaokosa mchawi! Haya! Washirikina endeleeni kutafuta mchawi!
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

Jeshi la polisi lisipoanza na wewe nitasikitika sana!
 
Acheni uchochezi ,tulimpenda na mungu kampenda zaidi
 
Hakika Mkuu. Ni aibu kwa Mgombea Urais kuwa implicated kwenye matukio ya mauaji

Wewe una ushahidi au ndio huo ushirikina naousema? Kama una ushahidi peleka polisi afunguliwe mashtaka au unataka uwe kama Slaa anayesema ana ushahidi halafu haendi mahakamani? Kama mtu ni mwizi na una ushahidi peleka mahakamani ili haki itendeke kama hauna ushahidi we should shut up zaidi ya hapo tutakuwa tunazungumza ushirikina maana huo hauna ushahidi
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

Marehemu mtikila hana mamlaka ya kumpeleka Lowassa mahakamani mambo ya Richmond ni jamhuri tumieni vichwa vyenu.
 
Mkuu, kwa kadri muda unavyoenda, watu wanazidi kujiuliza maswali. Hakika ni jambo baya sana limetokea

Off course limetokea lakini ni ushirikina kulihusianisha na mtu fulani bila ushahidi, mimi sikutaka kuzungumza mchana maana sikuwepo eneo la tukio and remind you sometimes huwa kuna coincidence na ajali pia but sometimes huwa kuna ajali za kupanga na haya yote huwa yanakuwa supported na ushahidi. Sasa polisi hawajatoa tamko, postmortem results hazijatolewa na mashuhuda hawajazungumza watu huku dar wamelipuka fulani kahusika, kwani Mtikila ndio wa kwanza kupata ajali? Tuwe na ushahidi na kama yupo aliyehusika apelekwe mahakamani simple and clear zaidi ya hapo tutakuwa tunazungumza kwa USHIRIKINA TU
 
Naamini hivyo vyombo vipo humu pia

Acha ushabiki wa Kisiasa Lizaboni ndugu yangu.utu ni mali kuliko siasa unazoshabikia..wewe unaamini ukimfuata mke na familia ya marehemu uwaeleze hii habari kwamba ndugu yao kauliwa na mkono wa hao uliowataja watakuelewa kweli?kuna mengi katika siasa ya kuongelea lakini sio haya unayoongelea hapa,vizuri ukapeleka unachokifahamu katika vyombo vya dola..maana sidhani kama vituo vya polisi kuna matangazo yanasema kwamba kama kuna msaada wakihitaji tuje tuandike humu JF wao watatoa humu huo msaada wa kuwasaidia hili kukamilisha kazi zao,..Sifa na majivuno ayaliwi kwenye sahani kama ugali au wali.badilika.Ndugu
 
Watanzania tuache ushabiki ....haitusaidii.....something is going very wrong na tunashabikia tu .....tutulize akili japo kidogo ndugu zangu ....
 
Mkuu lizabon kwanza pole kwa panic ya hali ya juu, Lowasa amewashika pabaya,
 
Mzoga wa Marehemu Mtikila utapumzishwa wapi?..R.I.P Mtikila,msalimie Nyerere!!
 
Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?

Hiv mwangosi na mtikila nani hapo kafa kwa kuuawa? Kwa akili ya kawaida tu. Afu nipe jibu. Zn tudiscuss kifo cha dr mvungi.....
 
Mleta hoja itakua ndio mhusika no 1 mana anawajua wa2 wote waliokua n marehemu....hivi ukiwa ccm ndio unakua zezeta kazi kurupoka tu kila cku....nenda ukapimwe lazma unachango la uzazi wewe
 
Mzoga wa Marehemu Mtikila utapumzishwa wapi?..R.I.P Mtikila,msalimie Nyerere!!Mwambie CCM is no more na Kingunge ameng'atuka CCM na kadi yake namba 8!!
 
Lizabon Fasa propaganda lakini sio kwenye vifo vya watu.....


Kamba iliyopo kichwan ni tai na wamemfunga ili mwili usianze kuvuja damu. na kusaidia urahisi wa kufunga mdomo.

maana sio busara kumwacha marehemu akiwa mdomo wazi.

Pili marehemu hakufunga mkanda, TBC wamesema marehemu alitokea kwenye kiocha mbele akarushwa chini.
 
Hakika Mkuu. Ni aibu kwa Mgombea Urais kuwa implicated kwenye matukio ya mauaji

Nina hofu hata mamako akikosana na babako utasingizia lowasa ndo kasababisha, kama unajua chanzo cha kifo cha mtikila peleka polisi na kama mlipanga hilo tukio wenyewe ili kutafta kick imekula kwenu hatudanganyiki.
 
Back
Top Bottom