mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?
Nani anayekataa? Kwa hiyo kama Lowassa kashiriki na ikathibitishwa tutapinga? Shida ni kumuhusisha na ajali wakati hamna evide evidence, mnaongea ushirikina na uchawi usiokuwa na evidence. Kama kweli mna nia ya dhati pelekeni ushahidi polisi na mahakamani na kumbukeni mahakama ndio inayoweza kumtia mtu hatiani sio jf wala itv wala fb