Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Kichinjio changu tuuu iyo siku,,,,,,we are moving on,,,,,,’’tunaitaji pumzi mpya kupandisha mlima’’
 
Wakati wa umauti wake, Mchungaji Mtikila alikuwa amekamilisha nyaraka zote zinazohitajika ili kumshtaki Mgombea Urais kupitia UKAWA. Hapa kuna jambo limejificha. Mtikila pia alikuwa na bifu na Kagame ambaye amekuwamswahiba mkubwa wa Mbowe na Lowasa.mmmmmmh!

Hivi wewe unajua taratibu za kumshtaki mtu au unaongea tu kwa kuwa huo mdomo haulipiii VAT sasa marehemu MCH. MTIKILA angemshtakili LOWASSA kwa kesi ipi ya jinai au madai?wewe na LIZABONI na uvccm wenzako wote mna akili za kushikiwa jaribuni kua act kama vijana mlio mature.R.I.P REV MTIKILA.
 
Wakamatwe tu ila ukweli ubaki pale pale msimamo mtikila alisha tupa sifa za kuchagua rais bora
 
huyu mchungaji inatiwa mtu adig his past,je amewahi kuwa na uhusiano na na yule askofu wa tanganyika packers?,,,kwanini ilibidi wachukuwe madreva wawili kwa gari dogo kama hilo,tena wote wametafutwa na huyo patrick ,kwanini wamemaza chali marehemu then wakamchukua picha,maana kwa vyovyote ile picha imechukuliwa na hao hao waliokua nae,,,mbona gari imekaa kama imebinuliwa na wala haikuviringika?

Hilo nalo neno
 
Acha uongo wewe hizo laws za physics hazihusiki hapo, briefcase lilianguka baada ya gari kupinduka juu chini au lilidondoka na mtikila toka kwenye kioo cha mbele

Hapo ndo kuna maswali upite kioo cha mbele na kingine juu baada ya kupinduka vyote viwe sehemu moja. Mie sijasema ni kweli ila kuna haja ya kuhoji jinsi mwili na briefcase vilivyokutana sehemu moja baada ya kila kimoja kutokea njia tofauti. Harafu alipitia kioo cha mbele lakini amelala ubavuni mwa gari? Kama alipitia kioo cha mbele nafikiri gari lingemgonga pia.
 
Siku zote UKAWA mmekuwa mkililia uundwaji wa Tume huru ya Uchunguzi kutokana na vifo vyenye utata. Inakuwaje hapa pa Mtikila mnataka papite kimya kimya?
Duh..!!!:eti leo Magamba nayo yamekuwa yakupaza sauti juu yamatukio kama haya na kuonekana yanapambana na ufisasi..!

Hata mrushe mikono na migùu kwa kujigalagaza #25october CCM OUT
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho

......ulipompiga makofi mzee, yuleee wa katiba kuna mtu alikuja kukuhoji?! kufa kuko pale pale uwe fisadi ama laa, chama chetu tunatakiwa kujitathmini, turudie misingi ya waasisi, zaidi ya yote, tuwe na nidhamu kama sio adabu kwa waliotuzidi umri, shame on us tunaojali matumbo pekee badala ya utu wetu watanzania!!!
 
Ningekuwa rais Mimi au mungu nigetenda miujiza na dunia ingejua,lowasa nibshetani ambalo LIKO tayari kufanya chochote ili kwenda ikulu,mungu yupo?

Huwezi kuwa Mungu ila unaweza kuwa mungu.
Kwa kuwa tayari una mawazo ya kishetani, basi wewe ni shetani wa mguu mmoja.
 
NACHELEA KUSEMA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA AMEUAWA.

Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea kusema huyu Mzee ameuawa na kwa maslahi ya kisiasa na mmoja wa Wagombea.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila. Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa ndg Edward Lowassa.

Taarifa za siri zinasema kuwa Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.

Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani alimpiga picha Marehemu Mtikila?
Je, Patrick Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini liharibike eneo la mbele pekee?

Je Ni chombo gani kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa marehemu alisema wamepata ajali na kwamba kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa marehemu pale Mikocheni.

Copy n' paste. Makumazan wewe
 
Acha ushabiki wa Kisiasa Lizaboni ndugu yangu.utu ni mali kuliko siasa unazoshabikia..wewe unaamini ukimfuata mke na familia ya marehemu uwaeleze hii habari kwamba ndugu yao kauliwa na mkono wa hao uliowataja watakuelewa kweli?kuna mengi katika siasa ya kuongelea lakini sio haya unayoongelea hapa,vizuri ukapeleka unachokifahamu katika vyombo vya dola..maana sidhani kama vituo vya polisi kuna matangazo yanasema kwamba kama kuna msaada wakihitaji tuje tuandike humu JF wao watatoa humu huo msaada wa kuwasaidia hili kukamilisha kazi zao,..Sifa na majivuno ayaliwi kwenye sahani kama ugali au wali.badilika.Ndugu

Mimi ndio maana kilasiku nasemakwamba Lizabon hana akili timamu,ivi anawezaje kutoa ushaidi wa namna hii na kusema utafikiria ni ukweli?anaisi tu then analeta humu nikisema kwamba polisi waanze na lizabon nitakua nimekosea?LIZABON anao ushaidi ok polisi tukikutafu usihof kutoa haya maelezo kwa mdomo.
 
Ni vyema mgaya ahojiwe vizuri usimtetee kumbuka mgaya alikuwa na marehemu mtikila kwenye gari lake alafu yeye hana jeraha hata moja.

Mimi sijamtetea Mgaya ila kuwa naye kwenye gari ni hatua ya moja na kuhusika ni nyingine so tuwaache polisi wafanye uchunguzi na wao ndio watakaothibitisha hilo na sio huo uropokaji na ushirikina wa kutokuwa na evidence wa humu jf
 
Ni vyema mgaya ahojiwe vizuri usimtetee kumbuka mgaya alikuwa na marehemu mtikila kwenye gari lake alafu yeye hana jeraha hata moja.

Hii uvccm imewaharibu vijana sana hivi nyie uvccm huwa mnafikiriaga kwa kutumia nini? au mnafikiria kwa kutumia ma .......ri? acheni kuwa na fikra mgando
 
By Moringe Sokoine1 :
Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado
kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea
kusema huyu Mzee ameuawa na genge la mafisadi
ili wafanikiwe kisiasa kwani Mtikila alikuwa
ameshakusanya vielelezo vyote vya
kuwashughulikia.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie
kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji
Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa
waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila.
Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki
muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa
ndg Edward Lowassa.Taarifa za siri zinasema kuwa
Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana
takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna
wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya
kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema
kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji
Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni
kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na
madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila
hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni
Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari
waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor
James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari
aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao
pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa
isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa
mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila
utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza
kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.
Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu
wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani
alimpiga picha Marehemu Mtikila? Je, Patrick
Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa
anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe
au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini
liharibike eneo la mbele pekee?Je Ni chombo gani
kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza
kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa
marehemu alisema wamepata ajali na kwamba
kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa
kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao
majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya
Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick
Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi
anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni
uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick
Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi
la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco
Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa
marehemu pale Mikocheni.

Wale wote wenye misimo thabiti juu ya kuchukia
Rushwa na Ufisadi wachukue tahadhari. Nasema
hivyo sababu Humphrey Polepole alivamiwa
nyumbani kwake Mbezi na Dkt. SLAA anapokea
sms za vitisho. Vyombo vya dola viwe macho
Duh lowasa ni shetani
 
Hivi wewe unajua taratibu za kumshtaki mtu au unaongea tu kwa kuwa huo mdomo haulipiii VAT sasa marehemu MCH. MTIKILA angemshtakili LOWASSA kwa kesi ipi ya jinai au madai?wewe na LIZABONI na uvccm wenzako wote mna akili za kushikiwa jaribuni kua act kama vijana mlio mature.R.I.P REV MTIKILA.
I

Akili zako hazikutoshi shetani wewe, unazani wote wanaongozwa na mashetani ya gwajima, kua nyie eti mungu ? Mnamjua mungu na gwajima wenu? ,ikulu mpaka kutoa watu roho kuna nini?
 
NACHELEA KUSEMA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA AMEUAWA.

Mazingira ya kifo cha Mchungaji Mtikila bado kinatia shaka kuu mbele ya jamii na nachelea kusema huyu Mzee ameuawa na kwa maslahi ya kisiasa na mmoja wa Wagombea.

1. Jeshi la Polisi Watanzania tunaomba mtusaidie kumuhoji kwa kina huyu mtu anaeitwa Mchungaji Patrick Mgaya. Huyu alikuwa ni mmoja wa waliopata ajali pamoja na marehemu Mtikila. Ikumbukwe kuwa Magaya ni mmoja wa mashabiki muhimu sana wa Mgombea Urais kupitia Ukawa ndg Edward Lowassa.

Taarifa za siri zinasema kuwa Mchungaji Mgaya na Mchungaji Mtikila walikutana takribani mwezi mmoja uliopita tu na kwamba kuna wasiwasi kuwa alipewa kazi maaluum ya kuhahakisha amamuua Mtikila.

Taarifa kutoka nyumbani kwa marehemu zinasema kuwa Mchungaji Mtikila akiwa na Mchungaji Patrick Mgaya walianza safari siku ya Ijumaa jioni kwenda mkoani Njombe ambapo waliambatana na madereva wawili ambao Mchungaji Mtikila hakuwafahamu. Aliewafahamu watu hawa wote ni Mchungaji Magaya ambae ndie aliekodisha gari waliokwenda nayo Njombe kupitia kwa Ndg Victor James Manyii ambaye mbali ya kutoa gari aliyokodisha pia alitoa madereva wawili ambao pamoja na Mchungaji Mgaya wao hawakufa isipokuwa Mchungaji Mtikila pekee.

Ajali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Kwa mfano ukiangalia shingo ya marehemu Mtikila utaona kuna kitu kama kamba ambayo inaweza kuleta tafsiri kuwa ilitumika kumnyonga marehemu.

Pili, kwanini mwili wa marehemu hauna hata kovu wala mchirizi wowote wa damu? Je, ni nani alimpiga picha Marehemu Mtikila?
Je, Patrick Mgaya ni nani? Kabla kuwa mchungaji alikuwa anafanyakazi gani? Je gari lile lilipinduka lenyewe au liligongwa? Na kama lilipinduka ni kwanini liharibike eneo la mbele pekee?

Je Ni chombo gani kilikuwa cha kwanza kumpiga picha na kusambaza kwenye mitandao?

Patrick Mgaya alipopiga simu nyumbani kwa marehemu alisema wamepata ajali na kwamba kulikuwa na majeruhi wengi sana akamaliza kwa kusema mtuombee kisha akakata simu, je, hao majeruhi wengi ni akina nani? Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama muhojini Mchungaji Patrick Mgaya maana zipo dalili kuwa kuna mengi anayoyafahamu kuhusu tukio hili. Pia fuatilieni uhusiano uliopo kati ya Rais Paul Kagame, Patrick Mgaya na EADWARD LOWASSA. Pia nashauri Jeshi la Polisi kumuhoji mtu anaeitwa Dr. Jean Bosco Ngendahimana ambae anaishi nyumbani kwa marehemu pale Mikocheni.

unaelew maana ya neno 'NACHELEA' MAANA HALIENDANI NA CONTENT YA MADA YAKO.
NACHELEA MEANS NAOGOPA,NASITA,nawiwa vigumu
 
Hakika Mkuu. Ni aibu kwa Mgombea Urais kuwa implicated kwenye matukio ya mauaji

Je tukisema wewe ndo Muuaji? Kuna tofauti gani. Kila mtu anaweza kusema anachotaka. Sasa mimi nasema POLISI MKAMATE MTU ANAJIITA LIZIBONI NDO ALIMUUA DR MVUNGI.
 
Back
Top Bottom